Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Ukweli wao ni upi?ni kweli ndugu mwananchi sio wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli wao ni upi?ni kweli ndugu mwananchi sio wajinga
Ulisoma kabla ya kupost? Mana haieleweki umeandika nn haswaChama ni Mbowe...na Mbowe ndiye chama.....
Kipindi hichi watu aina ya Lowassa(assets in Mbowe's voice)hawapo.....
Washenga hawatakuwa na kazi....kifuatacho ni yeye tu....yeye atakayesimama.....
Kumsimamisha TL ndio bomu zaidi....
Mzee wangu mmoja alipata kuniambia kuwa "watu wasiotabirika ni hatari sana...."...TL hatabiriki...hajali chochote....lolote linaweza kumtoka muda wowote....
Ni bora ya Julius Malema wa EFF ya SA....ana ajenda na si mh.Tundu Lissu.....
Wewe ulilipwa na nani ulipomsingizia Makonda kuwa ana mdororo wa siha ?!! [emoji1787]
#Nchi Kwanza[emoji7]
Mimi sio kazi yangu kudhibitisha wewe ndio uwaulize ikiwezekana ufungue mashtaka ya kutoa taarifa potofuThibitisha sasa kama walichoandika ni ukweli
Hivi unaamini bado kila mtu anasoma magazeti?Gazeti la Mwananchi ndilo gazeti kiongozi la Kiswahili, huwezi kulidharau, ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga, na usipoyaoga, yatakuosha siku ya siku!.
Hivyo hata ukilidharau, lazima utalisoma tuu!
P
Wanaosoma magazeti ni wale wenye uwezo wa kusoma magazeti.Hivi unaamini bado kila mtu anasoma magazeti?
Hayo magazeti yanayoendekeza uchawa walio wengi wameyapotezea. Mmebaki nyie tu.Wanaosoma magazeti ni wale wenye uwezo wa kusoma magazeti.
The rest ni online contents
P
Japo kuna magazeti chawa, sio gazeti la Mwananchi.Hayo magazeti yanayoendekeza uchawa walio wengi wameyapotezea. Mmebaki nyie tu.
Ok, ni lini Mbowe alitangaza kutaka kugombea urais ili tujue sio gazeti la uchawa?Japo kuna magazeti chawa, sio gazeti la Mwananchi.
P
Akijibu nistue.Ok, ni lini Mbowe alitangaza kutaka kugombea urais ili tujue sio gazeti la uchawa?
Lisu ni mropokaji, mwenye viherehere, siasa za chuki na uchochezi, hana staha, mpenda vurugu, asiye na adabu kwa binadamu wenzake, anaamini yeye ndiye atakuwa rais wa JMT 2025 iwe jua iwe mvua etcLissu katamka hadharani, na Mbowe katamkia wapi?
Kutangaza nia ya kugombea Urais tena kwa kufuata utaratibu wa Chama chake ni Uropokaji?Lisu ni mropokaji, mwenye viherehere, siasa za chuki na uchochezi, hana staha, mpenda vurugu, asiye na adabu kwa binadamu wenzake, anaamini yeye ndiye atakuwa rais wa JMT 2025 iwe jua iwe mvua etc
Mbowe yuko tofauti. Hana vihere here. Siasa zake ni staha na ni gwiji wa kutunga hoja zenye mashiko na ushawishi kwa mtu ye yote bila kuudhi au kutweza mtu. Kipindi cha kutoa nia ya kuwania kugombea uraisi a
kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 bado haujafika. Hivyo hawezi kukurupuka kusema hivyo kwa sasa.
Ukweli ni kwamba TL anawachafulia chama chenu kwa kukifanya kionekane kama chama cha wahuni, chama cha kuvuruga nchi badala ya kujenga nchi. Mguu wake mmoja uko Tanzania na ule wa pili uko Ubelgiji na Marekani. Akikinukisha hapa Tanzania huwa hachelewi kukimbilia Ubelgiji au Marekani. Pakitulia hurudi tena kuja kukinukisha.
TL anajua kabisa kwamba akigombea ubunge huko kwao Singida hawezi kupita, ataambulia aibu ya kushindwa vibaya. Hivyo kiti pekee anacho tamani agombee ni hicho cha uraisi ambacho anajua atashindwa vibaya lakini hataaibika kwani atasingizia kura zake zimeibiwa kwa mtindo wa Nape style!
Ha ha ha haTayari nishakuweka kwenye Ignore List, kuhangaika na wajinga ni kupoteza muda, kwaheri ya kutokuonana