Anti-Hacker
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 803
- 1,233
Wait..wanakuja ila kama ni Hacked itajulikana au matatizo ya kimtandao au ndio Kolonya wameamua kustay home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefungiwa na TCRA.Tovuti ya mwananchi haiko hewani kwa muda sasa mwenye kujua atujuze
uhuru wa habari uko wapi?mwananchi nimoja ya magazeti bora hapa kwetu tanzania inasikitisha sanaWamefungiwa na TCRA.
P
Viva JPM..wakomeshe watz wanyookeuhuru wa habari uko wapi?mwananchi nimoja ya magazeti bora hapa kwetu tanzania inasikitisha sana
uhuru wa habari uko wapi?mwananchi nimoja ya magazeti bora hapa kwetu tanzania inasikitisha sana
Azory gwanda Yuko wapi
Usiongee vitu usivyo vijua.The citizen zote tv,radio na magazeti Ni Mali za Aghakan kuna watu watabisha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Mkuu.Hawa mwananchi waliweka video Twitter Rais akinunua samaki magengeni watu wamejaa wakati huu wa corona,baadaye serikali ikakanusha kwa siyo video ya mda huo ni ya siku nyingi mno.Ndo zogo ilipoanzia ,pia the citizen tv walisema JPM ni mkaidi akawapiga biti .
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧