Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

Wait..wanakuja ila kama ni Hacked itajulikana au matatizo ya kimtandao au ndio Kolonya wameamua kustay home
 
Hahaha walisifiwa kwa kutoa taarifa nzuri uchaguzi wa 2015 wakavimba kichwa. Wakirudi tutakuwa kwenye uchaguzi mkuu October 2020.
Ningekuwa Muhariri wa Mwananchi wasirudi mpaka January 2021.
 
Asante sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) leo tarehe 18 April imetangaza kulifungia gazeti la mwananchi online kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukiuka maadili ya kazi na kwenda kinyume na sheria zinazosimamia mawasiliano nchini kwa kuchapisha habari za uongo kwa lengo la kupotosha jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangezitaja hizo habari ingesaidia kuelimisha wengine aina za habari ambazo hazitakiwi.

Amandla...
 
Sheria ni msumeno, hukata upande mmoja tu wenye meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…