Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

wajifunze taratibu ingawa hawataki kufanya hivyo.
 
Pamoja na kuwafuta kazi wafanyakazi wao wawili bado wamefungiwa? Duh kweli Shetani hana rafiki. Musiba vipi amefungiwa au bado?
 
Wakati huohuo musiba bado hajafungiwa.
Wakiambiwa hamfahamu kuongoza wananza kutuwinda,ila hawa jamaa ni utawala uliofitinika maana hatumii sheria kunufaisha jamii bali watawala waliochoka wasiofahamu Tanzania inatakiwa kuendelea hadi kiwango gani as a maximum standard kwa raslimali tulizojaaliwa na Muumbaji.
Wanaamini muarobaini wetu ni Watu wa mataifa mengine kuwekeza na kujiamulia mikataba ya Kimangungo wanayotuingiza kila mara.Maendeleo ni watu na bila watu maendeleo yoyote hayawezekani na hayana maana yoyote.
 
Na hilo hgazeti linawindwa hasa kuanzia kufukuzwa kwa khalfan said, neville meena
 
Ndio maana leo kila nikigoogle naona chenga tu.
 
Mwananchi siku zote huwa wanaandika habari mbaya tu toka Magufuli aingie madarakani wanastahili adhabu.

Ina maana huwa hawana zuri hata moja kuandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inapokuwa rahisi kufungia gazeti kwa kuandika habari basi ujue tatizo sio gazeti bali ni waliolifungia.Serikali ina mambo inaficha
 
Kamanda unaongea kutoka ufipa au wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila kitu ni ufipa na ufupa.Tazama msingi wa hoja yangu.Kufungia chombo cha habari haipaswi kuwa rahisi hivyo.Kuna mambo hata viongozi wa serikali watakosa kuyafahamu kwa sababu ya vyombo vya habari kuwa na hofu ya kufungiwa.
 
Unafahamu hata kwa mabwana mnaoawaamini Mabeberu wanafungia kila uchwao

Wakivunja sheria watafungiwa tu
Sio kila kitu ni ufipa na ufupa.Tazama msingi wa hoja yangu.Kufungia chombo cha habari haipaswi kuwa rahisi hivyo.Kuna mambo hata viongozi wa serikali watakosa kuyafahamu kwa sababu ya vyombo vya habari kuwa na hofu ya kufungiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…