Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Magazeti ya Kenya Tangu lini yakatutakia mema?Mwananchi siku zote huwa wanaandika habari mbaya tu toka Magufuli aingie madarakani wanastahili adhabu.
Ina maana huwa hawana zuri hata moja kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app