Pre GE2025 Gazeti la Mwananchi: Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa"

Pre GE2025 Gazeti la Mwananchi: Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una miaka mingapi?,unaijua CCM ya mwaka 2010-2015 ilivyokuwa inapingwa na Wananchi mpaka walikuwa wanaogopa kuvaa sare za CCM?
Magufuli na timu yake akina Bashiru na Polepole ndiyo Walikuja kurejesha Imani ya CCM kwa Wananchi ila hawa wa Sasa ndiyo wanao irudisha CCM ilikotoka.
Makonda amerudi na style waliyoitumia akina Polepole na mumeona muitikio wa Wananchi,sasa endeleeni kusikiliza ushauri wa matapeli wa Msoga alafu mtufurahishwa kwenye Uchaguzi!

Acha kudanganya watu. Magufuli alitesa wapinzani hivyo kuzima harakati za upinzani na kuwafanya CCM wawe pekee yao kwenye siasa. Wala hakuna Cha maana. Ndipo maana akaharibu uchaguzi wa 2019/2020 mpaka kuzima internet kwa wiki mbili kisa uchaguzi.
 
maji yako shingoni nini? Magifuli alitengeneza taswira ya chama kutoka zomea zomea mpaka jezi za mitoko na akashinda kwa 84% na 99.9% wabunge na 99.5%madiwani na wenyekiti usiige kunywa kwa tembo utapasuka msamba
Kwa uchaguzi ule wa kiini macho.!? Kweli akutukanaye hakuchagulia tusi.
 
Back
Top Bottom