Licha ya hayo anayoyafanya lakini dunia hii bila USA, tungeishi kwa tabu sanaaaa!!imagine taifa la kiarabu ndio lingekuwa kiranja wa dunia ingekuwaje?!!ni matatizo mangapi yapo hapa Africa na yanasababishwa na viongozi wetu, lakini wana bebana, kupitia AU, mwisho wa siku USA, akiingilia kati, wanaanza kulaumu!!ukiwa kiranja wa dunia mambo kama hayo hayawezi kukosekana!!bila ubabe wa USA, hizo meli za mizigo za kupitia pembe ya afrika zingepitia wapi?kila shirika la UN, yeye ndio mchangiaji mkubwa, haya huo mpango wa COVAX, unadhania nani ndio mfadhiri mkubwa?mbona mchina, mrusi hawaonekani??li USA, lina mapungufu , ilakwa dunia hii lina faida kubwa sanaaa!!!