Gazeti la NIPASHE, Mmetdhalilisha WALIMU, Mtutake radhi.

Gazeti la NIPASHE, Mmetdhalilisha WALIMU, Mtutake radhi.

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
hili gazeti leo lina kicchwa cha habari kisemacho WALIMU WAFELI MTIHANI VIBAYA,
hii heading ni ya kijinga na udhalilishaji, Ilipaswa waandike Wanafunzi wa Ualimu wafeli Mtihani,
maana mwalimu ni aliyehitimu na kufaulu, si ambaye yupo chuoni.

Najuluza kama wanafunzi wa TSJ wa uandishi wa habari wangefeli Hivu gazeti hili lingethubutu kuandika

WAANDISHI WAFELI MTIHANI VIBAYA?

walimu tuungane nipashe watuombe radhi na kusahihisha au kukanusha kuwa si walimu bali wanafunzi wa ualimu.

piga simu chumba cha habari na kwa wahariri sema no kwa hii heading
no za wahariri 0784/0715 333186
 
Kama kweli wameandika hivyo tatizo siyo gazeti bali ni mwandishi na kama amefanye hilo na wahariri nao wamo wakionesha upungufu wao katika uandaaji wa habari. Wasiwasemee wanafunz waliofel wajiongeze na wao hapopo.
 
katika mtihani wa cheti wa uhasibu (atec II) ya may mwaka huu yanasomeka 18.3% tu ndiyo waliofaulu, 47.2% watatakiwa kurudia mitiani(refer na re-referred) na 39% wamefeli kabisa

kupata distinction kwa level ya chuo sio kitu cha kawaida kama ambavyo NIPASHE mlivyorahisiha kwa kuandika HAKUNA DARAJA LA KWANZA ili wasomaji wachanganye na daraja la kwanza la form four, pia kupata supplimentary kwa level ya chuo ni kawaida sana, matokeo haya yametoka pamoja lakini waalimu ndiyo tambara la deki source: NBAA, National Board of Accountants and Auditors - NBAA
 
Gazeti la nipashe ni la makuwadi wa wanyonyaji wa walimu sijashangaa sana walichoandika. Binafsi huwa silinunui

"Nchi ngumu hii"
 
Ni "ukanjanja" unawasumbua hawa.
 
Sasa Mwandishi aliepata Div 4 utegemee weledi gani toka kwake?
 
Back
Top Bottom