Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
hili gazeti leo lina kicchwa cha habari kisemacho WALIMU WAFELI MTIHANI VIBAYA,
hii heading ni ya kijinga na udhalilishaji, Ilipaswa waandike Wanafunzi wa Ualimu wafeli Mtihani,
maana mwalimu ni aliyehitimu na kufaulu, si ambaye yupo chuoni.
Najuluza kama wanafunzi wa TSJ wa uandishi wa habari wangefeli Hivu gazeti hili lingethubutu kuandika
WAANDISHI WAFELI MTIHANI VIBAYA?
walimu tuungane nipashe watuombe radhi na kusahihisha au kukanusha kuwa si walimu bali wanafunzi wa ualimu.
piga simu chumba cha habari na kwa wahariri sema no kwa hii heading
no za wahariri 0784/0715 333186