Ndiyo hapo sasa, usimamizi umelegalega
Hilo si ndio shirika lenu pendwa ambalo hamkutaka likaguliwe, na wote waliojaribu kulisema vibaya mliwapa majina kibao ikiwemo kuwa wanatumiwa na mabeberu, waeneza ushoga na wanatumiwa na mabeberu?Habari.
Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la nipashe la leo limekuja na ripoti maalum ya upotevu wa mabilioni ya fedha kwenye shirika la ndege la ATCL kupitia posho mbalimbali wanazolipana wafanyakazi!
Kwa maana nyingine kuna upotevu mkubwa wa kodi na mapato mbalimbali yanayokusanywa na serikali hivyo Mwigulu hana mbadala mwingine zaidi ya tozo ili akamilishe miradi yote.View attachment 1867358
Leo 500 kwa ndege 10ATCL ni tatizo! Kipindi kile Shirika likiwa na ndege 2 tu, tena kuukuu! Eti lilikuwa na Wafanyakazi 200!!
Sasa wewe na akili zako kabisa unanua ndege cash,tena unajitapa kabisa hizo akili au matope??Baadaye mnamlaumu mwendazake na kusema mandege Yana hasara haya. Tena yamenunuliwa kwa cash.