Gazeti la Nipashe: Posho za wafanyakazi ATCL ni kufuru, mabilioni yateketea

Tatizo ni Kula MAKSAI pamoja na PhD ya uani. Ndugai anaipeleka CCM kusiko akijua wazi kuwa 2025 hagombei
 
Ingekuwa enzi ya Magufuli hilo gazeti lingeona kila rangi. Aisee kweli Jamaa kaenda zake!
 
Ingekuwa enzi ya Magufuli hilo gazeti lingeona kila rangi. Aisee kweli Jamaa kaenda zake!
Kumbuka mbowe ana wendazake wawili mpaka sasa
 
Mpango anawaenzi wafu, alianza Chato, Sasa yupo Lupaso nadhani next destination itakuwa Mwitongo
 
mleta mada ungepiga picha hiyo habari tuisome kwanza ndio tuchangie.Kuchangia kwa kutumia kichwa cha habari peke ake wengine inakuwa ngumu kidogo
 
Baadaye mnamlaumu mwendazake na kusema mandege Yana hasara haya. Tena yamenunuliwa kwa cash.
Kwa hili lazima alaumiwe sana. Utanunuaje mandege bila business plans kwanzaa?. Hii mianya yote kuiba pesa za umma kwa njia ya makaratasi kuharalisha wizi ilitakiwa izibwe kwanza
 
Kwa hili lazima alaumiwe sana. Utanunuaje mandege bila business plans kwanzaa?. Hii mianya yote kuiba pesa za umma kwa njia ya makaratasi kuharalisha wizi ilitakiwa izibwe kwanza
Kuna busness plan ya kulipana posho?

Huna akili kabisa.
 
Uandishi wako ni kichefuchefu hata hueleweki unataka nini?
 
Failed state nchi Ina mifumo mibovu mpaka basi ni ajabu mpaka kweny mashirika ya umma ambayo yalitakiwa yawe mfano Kwa jamiii ndo kuna majizi na majambazi ndani yake
 
Hizo posho ndiyo hizi tozo za mshikamano ambazo CCM wameanza kuwanyonya watanzania.
 
Kwakuwa wameamua kujilipa wapendavyo wakituletea huku mtaani na vijijini hayo mapesa mzunguko utaongezeka wasizifungie majumbani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…