Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

Hujawahi kuipenda tz..
Kuipenda TZ haina maana kutetea upuuzi wa upinzani uchwara!! Wapinzani gani hawa wanapiganiwa na watu baada ya muda wanaunga juhudi kisa kuhakikishiwa kurudi bungeni na hela!! TZ hamna upinzani makini bado, na bado sana kuupata
 
Je Hamza hakuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Ilala? Hamza hakuwa mwanachama wa CCM?
 
Wewe ni bwege!
 
Magaidi wamecharuka kuambiwa ni magaidi🤣🤣🤣
 
Wacha wafungiwe wanatukuza magaidi
 
Mmenikumbusaha namna ya kuandika Tangazo la biashashara nisome mimi nisome mimi, ninunue ninunue ' read me read me and buy me buy me'
 
Mama Samia anaendeshwa na bureaucracy za bara Wala simlaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…