Walikuwa wanachekelea kuwaita wengine magaidi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magaidi naona mmefura!!😅😅😅Hili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?
TANZANIA sio Mali ya mama yako hata uwaambie wengine watafute nchi nyingine.Mnataka katiba mpya ili ichekelee upuuzi kama huo wa hilo gazeti? Hivyo vichwa vyao vya habari unaona vipo sahihi? Kwa nia yenu hii ovu ya kutaka katiba mpya basi hamtokuja ipata, nchi lazima iwe na nidhamu na njia zake za kujiendesha! Huo upuuzi wenu tafuteni nchi nyingine mkaufanye! Mother endelea kuchapa hawa wajasiriasiasa waliopoteana kwa sasa
Shujaa Hamza Kada wa Kijani kaliponza Raia Mwema.Gazeti mbadala la Tanzania Daima hili!
Uhuru ilikuwa siku 7 Mkuu.
Kwa hiyo unakiri kuwa CCM ni chama cha hovyo!!??.
Jenerali Twaha Ulimwengu alipewa ukuu wa Wilaya na viongozi wa CCM.
Maana yake viongozi wa CCM ni hamnazo.
Huyu Mzee tangu apigwe X na Mkapa amekuwa kama chizi, mara atumie kikapu kama handbag, yaani ni shida tupuHili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?
Ukweli Daima fitina ....Gazeti mbadala la Tanzania Daima hili!
Salute....Kichekesho kikubwa, kwani Hamza hakuwa Mwanachama wa CCM. Yaani nyoka wamfuge wenyewe sasa wanamkana kisa kawagonga wao???
Salute...Nyani wapya msitu wa zamani!!
Nimeeleweka nadhani
Naulizia hili sababu ni mara ya kwanza katika historia mkurugenzi kuwa na mamlaka hayo kukariri vifungu sio hoja maana anaviona yeye tu wakati mwingine kifungu kinapingana na kifungu humohumo ndani angeweka hicho kifungu kimeandikwa vipi na ndio maana nchi hii tunaendeshwa kwa vifungu ambavyo sisi wala hatuna uwezo wa kuvifikia na kusoma wanatumia pale wanapovihitaji. Hii idara ilishawahi kuwa na wakurugenzi wengi ila huyu ni mtu anapenda spotlight kamfunika mpaka yule msemaji wa Ikulu anayafanya yeye yote kawa kama waziri tu.Kakuwekea na vifungu kwenye tamko lake ila bado hujaelewa
hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kunionesha twit ya Mnyika akiitetea gatezi la Uhuru?Walikuwa wanachekelea kuwaita wengine magaidi[emoji1787][emoji1787]