Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya kufungiwa kwa muda kutokana na kuandika kuhusu uanachama wa CCM wa Hamza, sasa limerudi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wapewe ya ugaidi🏃😂.Hahaaa kama namuona msigwa anavyopigiwa masimu sasahivi , naona wamerudi tena sijui safari hii tuwape kesi gani hahaaaaaaaaa, fiiisiiiiemuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, oye!
wanafungia magazeti ya maana halafu yale yao yanafungiwa vitumbuaHahaaa kama namuona msigwa anavyopigiwa masimu sasahivi , naona wamerudi tena sijui safari hii tuwape kesi gani hahaaaaaaaaa, fiiisiiiiemuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, oye!
Wanadhani watanzania ni mazuzu wa kuoangiwa cha kusoma.wanafungia magazeti ya maana halafu yale yao yanafungiwa vitumbua
😆😆Hahaaa kama namuona msigwa anavyopigiwa masimu sasahivi , naona wamerudi tena sijui safari hii tuwape kesi gani hahaaaaaaaaa, fiiisiiiiemuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, oye!
Uandishi makini ni ule una base on facts na Habari za maendeleo. Uhuru na Mzalendo yanaandika facts na Habari za maendeleo ya watu na nchi.Wanataka magazeti yoote yafanye kazi kama uhuru na mzalendo yaani kila siku ni kusifia sifia na kuimba nyimbo za ccm mbeleeee kwa mbeeeleeee
Sidhani kama kuna mtu anaweza kutoa ela yake akanunua hayo magazeti na ndiyo maana yanakuwa yanafungia meza kila sikuUandishi makini ni ule una base on facts na Habari za maendeleo. Uhuru na Mzalendo yanaandika facts na Habari za maendeleo ya watu na nchi.
Ni bahati mbaya sana tunadhani uandishi mzuri ni wa kukosoa tu. Uandishi wa maendeleo mara nyingi unapaswa kuripoti Habari chanya za kuwapa watu faraja, fursa na solutions za matatizo yao.
Sasa fikiria, mtu ni masikini badala ueleze fursa zilizowekwa na Serikali ili ajikwamue wewe unampa Habari za Hamza tu. Watu msimu wa ununuzi wa mahindi huu na secretariat ya CCM iko mikoani kuhakikisha mahindi yananuliwa, utawapa Habari kubwa ya Hamza au nyingine isiyo na maslahi makubwa?
"Ndiyo tunahitaji habari...lakini Habari gani?Nimempiga mke...ndiyo ni Habari, lakini je, itoke? -JK.Nyerere. [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo jamaa ana mtindio wa ubongo yaani mamzalendo na uhuru yanaadika facts, mbona yaliposema mama yao hagombei waliyafungia yaani kuwa mbogamboga ni kuendelea kuwa masikini wa fikra kabisa, ukibishana na hao jamaa mkuu utapata presha tu ni sawa sawa na ukishinda unaua mapumbafu utakua unapoteza muda tu hayaishagi hayoSidhani kama kuna mtu anaweza kutoa ela yake akanunua hayo magazeti na ndiyo maana yanakuwa yanafungia meza kila siku
Aisee usemayo ni kweli mtupu.Huyo jamaa ana mtindio wa ubongo yaani mamzalendo na uhuru yanaadika facts, mbona yaliposema mama yao hagombei waliyafungia yaani kuwa mbogamboga ni kuendelea kuwa masikini wa fikra kabisa, ukibishana na hao jamaa mkuu utapata presha tu ni sawa sawa na ukishinda unaua mapumbafu utakua unapoteza muda tu hayaishagi hayo
Soko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.Uandishi makini ni ule una base on facts na Habari za maendeleo. Uhuru na Mzalendo yanaandika facts na Habari za maendeleo ya watu na nchi.
Ni bahati mbaya sana tunadhani uandishi mzuri ni wa kukosoa tu. Uandishi wa maendeleo mara nyingi unapaswa kuripoti Habari chanya za kuwapa watu faraja, fursa na solutions za matatizo yao.
Sasa fikiria, mtu ni masikini badala ueleze fursa zilizowekwa na Serikali ili ajikwamue wewe unampa Habari za Hamza tu. Watu msimu wa ununuzi wa mahindi huu na secretariat ya CCM iko mikoani kuhakikisha mahindi yananuliwa, utawapa Habari kubwa ya Hamza au nyingine isiyo na maslahi makubwa?
"Ndiyo tunahitaji habari...lakini Habari gani?Nimempiga mke...ndiyo ni Habari, lakini je, itoke? -JK.Nyerere. 😀😀😀
achana naye huyo si mfagizi wa ofisi pale lumumba anadhani watu wote wana uelewa mdogo kama yeyeSoko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.