Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

Soko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.
Soko haliwezi kuwa kipimo kikuu cha professionalism ktk media industry ya Tanzania. Ndiyo maana magazeti ya udaku yanauza kuliko mengine.

Soko linaweza kutawaliwa na wapenda umbea, majungu, fitna, chuki, wasaliti wa Taifa na wasiopenda amani na maendeleo kuliko wale wanaopenda Habari chanya. Soko ni very subjective in its realistic measures.
 
Uandishi makini ni ule una base on facts na Habari za maendeleo. Uhuru na Mzalendo yanaandika facts na Habari za maendeleo ya watu na nchi.

Ni bahati mbaya sana tunadhani uandishi mzuri ni wa kukosoa tu. Uandishi wa maendeleo mara nyingi unapaswa kuripoti Habari chanya za kuwapa watu faraja, fursa na solutions za matatizo yao.

Sasa fikiria, mtu ni masikini badala ueleze fursa zilizowekwa na Serikali ili ajikwamue wewe unampa Habari za Hamza tu. Watu msimu wa ununuzi wa mahindi huu na secretariat ya CCM iko mikoani kuhakikisha mahindi yananuliwa, utawapa Habari kubwa ya Hamza au nyingine isiyo na maslahi makubwa?

"Ndiyo tunahitaji habari...lakini Habari gani?Nimempiga mke...ndiyo ni Habari, lakini je, itoke? -JK.Nyerere. [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanini taarifa za Hamza kuwa mwanachama na kiongozi wa ccm ( mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya) , zinatakiwa kufichwa ?
 
Alikuwa na kadi namba ngapi (ilitolewa tawi gani?) Pia alikuwa kiongozi katika ngazi ipi? Natamani kujua ninufaike na facts.
Kwanini taarifa za Hamza kuwa mwanachama na kiongozi wa ccm ( mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya) , zinatakiwa kufichwa ?
 
Hili gazeti lilinikosha kwa kishindo😁😁😁
AEyXWF.jpg
 
Back
Top Bottom