Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

Hawa wanao fanya kazi ya kuyafungia magazeti yanayo fanya kazi kwa weledi ujue wapo tayari kuhakikisha kuwa gazeti halifanyi kazi kwa uhuru.
 
Wanataka magazeti yoote yafanye kazi kama uhuru na mzalendo yaani kila siku ni kusifia sifia na kuimba nyimbo za CCM mbeleeee kwa mbeeeleeee
 
Yule mzee wa kiko atapigwa ban la maisha ASAP

USSR
 
Gazeti Limerudi. Menginr ni majarida ya kufungua vitumbua.
 
Hahaaa kama namuona msigwa anavyopigiwa masimu sasahivi , naona wamerudi tena sijui safari hii tuwape kesi gani hahaaaaaaaaa, fiiisiiiiemuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, oye!
πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanataka magazeti yoote yafanye kazi kama uhuru na mzalendo yaani kila siku ni kusifia sifia na kuimba nyimbo za ccm mbeleeee kwa mbeeeleeee
Uandishi makini ni ule una base on facts na Habari za maendeleo. Uhuru na Mzalendo yanaandika facts na Habari za maendeleo ya watu na nchi.

Ni bahati mbaya sana tunadhani uandishi mzuri ni wa kukosoa tu. Uandishi wa maendeleo mara nyingi unapaswa kuripoti Habari chanya za kuwapa watu faraja, fursa na solutions za matatizo yao.

Sasa fikiria, mtu ni masikini badala ueleze fursa zilizowekwa na Serikali ili ajikwamue wewe unampa Habari za Hamza tu. Watu msimu wa ununuzi wa mahindi huu na secretariat ya CCM iko mikoani kuhakikisha mahindi yananuliwa, utawapa Habari kubwa ya Hamza au nyingine isiyo na maslahi makubwa?

"Ndiyo tunahitaji habari...lakini Habari gani?Nimempiga mke...ndiyo ni Habari, lakini je, itoke? -JK.Nyerere. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kutoa ela yake akanunua hayo magazeti na ndiyo maana yanakuwa yanafungia meza kila siku
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kutoa ela yake akanunua hayo magazeti na ndiyo maana yanakuwa yanafungia meza kila siku
Huyo jamaa ana mtindio wa ubongo yaani mamzalendo na uhuru yanaadika facts, mbona yaliposema mama yao hagombei waliyafungia yaani kuwa mbogamboga ni kuendelea kuwa masikini wa fikra kabisa, ukibishana na hao jamaa mkuu utapata presha tu ni sawa sawa na ukishinda unaua mapumbafu utakua unapoteza muda tu hayaishagi hayo
 
Aisee usemayo ni kweli mtupu.

Hawa majamaa yanaongea tu bila kuwa uhakika.
 
Jana nimepata nakala moja naendelea kulisoma taratibu.
 
Soko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.
 
Soko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.
achana naye huyo si mfagizi wa ofisi pale lumumba anadhani watu wote wana uelewa mdogo kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…