Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

Soko ndilo linaamua habari nzuri ni ipi! Mzalendo na Uhuru wanauza nakala ngapi kwa siku? Nimesahau hata Mzalendo laonekanaje.
Soko haliwezi kuwa kipimo kikuu cha professionalism ktk media industry ya Tanzania. Ndiyo maana magazeti ya udaku yanauza kuliko mengine.

Soko linaweza kutawaliwa na wapenda umbea, majungu, fitna, chuki, wasaliti wa Taifa na wasiopenda amani na maendeleo kuliko wale wanaopenda Habari chanya. Soko ni very subjective in its realistic measures.
 
Kwanini taarifa za Hamza kuwa mwanachama na kiongozi wa ccm ( mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya) , zinatakiwa kufichwa ?
 
Alikuwa na kadi namba ngapi (ilitolewa tawi gani?) Pia alikuwa kiongozi katika ngazi ipi? Natamani kujua ninufaike na facts.
Kwanini taarifa za Hamza kuwa mwanachama na kiongozi wa ccm ( mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya) , zinatakiwa kufichwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…