Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Raia MwemaGazeti la Tanzania Daima linaripoti? Tanzania Daima au Raia Mwema?
Vigogo wa chama na serikaliHao watu ni akina nani?
Signatories wa kamati ya maandalizi ya msiba, wanajulikana.Hao watu ni akina nani?
Majina...Vigogo wa chama na serikali
Magazeti imekuwaje mnaripoti mambo haya ya ufisadi.Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008
Yamefufuka sasa tunaweza kusoma magazetiMagazeti imekuwaje mnaripoti mambo haya ya ufisadi.
Mmefufuka na nyie. Maajabu.
Anyhow, there's light in the tunnel end.