BACT TO THE TOPIC! mkuu naona watakakukuza jina teh!huenda bujibuji ndio kaipeleka huko risasi
si ulimsikia PM ndani ya bunge akijitetea juu ya posho kuwa ni za jamaa ya wabunge? Hii ni moja ya matumizi ya posho wanazopewa.Heheheh...hao wabunge wananunulia wananchi wao nyama?!
Wiki hii ninae tuBabu alipeleka mzigo RISASI, wakaafikiana bei, basi!
Saa hizi Babu anapesa ya kwenda Zero PUB wiki 4
Asprini, vipi mbona hauji kuthibitisha Babu?
Ukute babu naye ni mtunzi, I mean anandika, huwezi jua.
Babu amelala akiamka atavuta ugolo then anakuja kuwajibu, si mnajua leo lazima amtulize bibi?Babu kakamatwa pabaya...anasubiri soo liende down...