Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Babu alipeleka mzigo RISASI, wakaafikiana bei, basi!
Saa hizi Babu anapesa ya kwenda Zero PUB wiki 4
 
Au inawezekana Asprin ni muandishi wa hilo gazeti...
 
Wachakachuaji wa sredi wapo wengi mno!! Lizzy,.AD,Ivuga-hamjambo???...haya bana...mi bado namsubiri babu najua wikend hii ngumu kumpata.... yupo baa moja pale KEKO MWANGA na toto totoz flan anamliwaza!!
 
Anakuja soon si unajua babu anatembea na mkongojo?
 
Back
Top Bottom