Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857
Kumbe baadhi ya story za magazeti ya udaku wanazitoa hapa jamvini...Hii nimethibitisha ile story ya Asprin
''Ulikuwa wapi siku zote...eeh!! wamecopy na kupaste katika gazeti la Risasi Jumatano(Juni 22-24) ukurasa wa 12
kwenye story ya ''Niliruka Ukuta nikaangukia kisiki''....!!

Hebu cheki baadhi: ''Baada ya shughuli aliniangalia usoni na kuniambia kuwa 'Dear siku zote ulikuwa wapi na umefanyaje mpaka nimepata raha hii ambayo sijawahi kuipata tangu niolewe'?''

Hawa jamaa wezi sana!! Au siku ile Babu ulikuwa pamoja na mapaparazi kwenye counta ya Juu??
 
Ahhh well...vyovyote vile mzee Asipirini hakujipanga kwahiyo hana kopirait acha waigilizie tu maana hapo ndo mwisho wa ubunifu wao!!
 
Utajuaje kama babu Asipirini na yeye anafanya kazi huko? Au labda mwenyewe kaipeleka huko........

Babu njoo ukanushe upesi kabla sijakutibulia kwa wajukuu....hahaaaa, natania babu, si unajua mie ni yule mjukuu wako Numbre wani kwa utiifu.....

Najua wamekuiga babu maana wewe ni kichwa hakika.......Next time nondo kama zile mwisho babu unaweka (c) Babu Asipirini
 
Kumbe baadhi ya story za magazeti ya udaku wanazitoa hapa jamvini...Hii nimethibitisha ile story ya Asprin
''Ulikuwa wapi siku zote...eeh!! wamecopy na kupaste katika gazeti la Risasi Jumatano(Juni 22-24) ukurasa wa 12
kwenye story ya ''Niliruka Ukuta nikaangukia kisiki''....!!

Hebu cheki baadhi: ''Baada ya shughuli aliniangalia usoni na kuniambia kuwa 'Dear siku zote ulikuwa wapi na umefanyaje mpaka nimepata raha hii ambayo sijawahi kuipata tangu niolewe'?''

Hawa jamaa wezi sana!! Au siku ile Babu ulikuwa pamoja na mapaparazi kwenye counta ya Juu??

nas we nae....... magazeti gani haya unasoma?

pinda ataanza kulia namna hii bhana
 
Aspirin njoo ukatae au ukubali maana JF tutaona ni test, wanatest kama kitu kinalipa then warushe magazetini...kesi hii wakujib Babu Aspirin
 
Tatizo ni ngumu kweli kuitofautisha JF na jamii....'everybody' is here. What if huyo mwandishi wa Risasi ndio Aspirin? (no name calling is intended:A S 114🙂
 
kweli bana anaweza akawa ni mhariri wa hilo gazeti. Chezea mambo ya avatar
 
Duhhhhhh

WAZO- na sisi tuanzishe JF MAGAZINE ..
Fedha ziende ku boresha JF..

Maana si watanzani wote wenye Internet na
si wengi wenye computer ...

Mada za hiyo magazine zitolewe sehemu mbali mbali hapa jamvini..

Asanteeni
 
nas we nae....... magazeti gani haya unasoma?

pinda ataanza kulia namna hii bhana

Kusoma sio tatizo tatizo ni how serious utayachukuliayale uliyoyasoma kwenye gazeti kama hilo. Bila kuyasoma utajuaje na kuyatofautisha?
 
DuhhhhhhWAZO- na sisi tuanzishe JF MAGAZINE ..Fedha ziende ku boresha JF..Maana si watanzani wote wenye Internet nasi wengi wenye computer ...Mada za hiyo magazine zitolewe sehemu mbali mbali hapa jamvini..Asanteeni
Mama naomba kibuyu changu kirudi asap....
 
Duhhhhhh

WAZO- na sisi tuanzishe JF MAGAZINE ..
Fedha ziende ku boresha JF..

Maana si watanzani wote wenye Internet na
si wengi wenye computer ...

Mada za hiyo magazine zitolewe sehemu mbali mbali hapa jamvini..

Asanteeni
we binti una akili wewe
aaaa mi natangaza ndoa
 
Tatizo ni ngumu kweli kuitofautisha JF na jamii....'everybody' is here. What if huyo mwandishi wa Risasi ndio Aspirin? (no name calling is intended:A S 114🙂
Yesu maria na yosefu.......... yaani babu asprin ndio risasi

heheheeeeeeeeeeeeeeeeeee, name calling!!!
 
Siulikataa kuja Hyd na mimi..Sasa cheki bibi alivyonifinyanga teh teh the
Nirudishie bwana....siunaona nlivyopoteza mabusara nimekua mchachu sana.....?!Alafu we umenikumbusha maporini...dah sitakaa niisahau ile safari!
 
Siulikataa kuja Hyd na mimi..Sasa cheki bibi alivyonifinyanga teh teh the
haya mambo ya kukumbushana nyumbani si mazuri

hivi dk. maleyek bado yupo pale ? au uliishia bulumbulu?
 
Back
Top Bottom