Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Gazeti la Risasi na story ya Asprin

Hahahahaha Dahh we mtoto umenikumbushaNa kunipa raha sana.. halafu mi Ndo napatA lunch sasa hiyo nyama yaMbuzi mmhhh Leo ni mimi na " mawazo tu ' lolzwaonaje kama tukiandika kitabu cha upande ule wa TZ?? Kitabu kita baseKwenye experience za watu. .. tutafanya research ya kutoshaKabla hatuja anza kukiandika...
We una makusudi kweli...ungejua sijala mbuzi muda gani usingeniringishia!!Alafu embu nigawie hayo mawazo kidogo......!Hahaha great idea...karaha zinazogeuka furaha baadae!!Bado hapo hatujaenda mtoni jufua na pale chemchem kuchota maji!!
 
hapana....mimi ni mjasiriamali..kwani kukaa karibu na mahakama ndio kujua sheria? hahaaaaa.btserious nxt tym u hv to find therenipo tele...sina kitambi.
Hahahaha....owkey ntakuja na AD tukupitie hapo utupe offer ya nyama choma!!‘
 
We una makusudi kweli...ungejua sijala mbuzi muda gani usingeniringishia!!Alafu embu nigawie hayo mawazo kidogo......!Hahaha great idea...karaha zinazogeuka furaha baadae!!Bado hapo hatujaenda mtoni jufua na pale chemchem kuchota maji!!
kwa nini? nitafute haraka sana
 
Heheheh....unaanza kwa mbwembwe za kuhonga alafu wiki ijayo unatuanzishia thread ya uchunaji!!!
hahaaaaaa. mbona wabunge wanapewa hii kitu kila siku.nikiwaazishia thread mnisute
 
Back
Top Bottom