Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Shida ni brain wash uliyo nayo. Usidang'anywe wewe, haha wazungu walianzia hukohuko wakaendelea taratibu.
 
Wapuuzi wasiturudishe nyuma tunafanya hivo kwa kurahisisha mambo mengi hata kama faida itakuja baada ya miaka hamsini
 
Serikali haifanyi biashara taahi.ra wewe, priority namba moja ni huduma bora kwa jamii, usafiri ni huduma ya jamii.
 
Kifupi mwandishi ni hopeless
Dunia ya sasa kila kitu ni fast

Fast internet,fast food ,fast services fast movement of goods and services, ,Fast cooking methods using gas etc

Hiyo dunia ya slow movement of goods services and passengers vimepitwa na wakati

Ndio maana hata matuta barabarani na speed limit na vitochi vya traffic kwenye highway ni ujinga mtupu.

Magufuli alikuwa na ujinga wake na mapungufu yake lakini kwa hilo la SGR alikuwa sahihi mno

Tanzania tuna shida hao wanaoitwa wataalamu waliokataa SGR hawahitaji kizazi kingine kije kuwaona wajinga .Sasa hivi kizazi tulichopo tupeni majina yao tuwatukane matusi ya nguoni wakiwa bado hai na wanasikia live.Kuwa kwa issue ya SGR ni wapumbavu wakubwa kama walikataa.Wapeleeni taarifa huko waliko.They are hopeless and stupid wasioendana na kasi ya dunia

Tupeni majina ya hao wataalamu waliokataa SGR .The Citizen tupeni majina yao.The rest achieni Jukwaa la Jamii forums wamalizane nao

Tupeni tu majina kuwa hawa ndio the so called wataalamu waliokataa SGR
 

Mkuu umeeleza vizuri.
 
Wakenya hawajashituka tu kwamba marehemu JPM alitutoa uoga. Wa tz sio mafala tena kihiiivyo. Propaganda zao nyingi hazifanikiwi tena japo ktk demokrasia hili ni jambo zuri kama nchi na Sisi wenye nchi kuweza kuwa macho na miradi mingine inayokuja. Kimsingi the citizen wanajulikana Huwa wanabeba agenda zao na hasa ktk kuwarubuni wawekezaji na watalii juu ya uwepo wa Hali nzuri ya Uwekezaji nchini.
 
Sababu wameachwa yatima Hakuna program baada ya kufeli la saba uende wapi. Nchi zingine tangu kijana anazaliwa hadi anakufa anajua apite wapi afike wapi, kupitia mifumo nchi zao iliyoandaa kwa vijana wao, awajaachwa njiapanda.
 
Dah we jamaa hivi unajielewa kweli, au ni mamluki kutoka Kenya?

Citizen ni gazeti la waKenya.

Na uko serious kuchukua ushauri kutoka World Bank? Hujui World Bank wameshatutia hasara kiasi gani?
Yale yale ya kimbunga Jobo by citizen TV
 
Sgr SAwa lakini haikuwa ya haraka zaidi kuliko matatizo mengine, mfano ajira, kilimo, elimu,
 
Mleta mada kama vile anauguliwa na ‘postnatal depression’ hii uwatokea baadhi ya wanaweka baada ya kujifungua mara nyingi chanzo chake mimba ikiwa sumbufu au changamoto za kujifungua.

Madhara yake huwa ni hasira wakati mwingine ata kumshika mtoto mama ataki, kumchukia baba mtoto, kutopenda vitu bila ya sababu maalum.

Hilo tatizo likiendelea kwa muda mrefu dawa ni moja tu psychological intervention.

Kupenda au kutopenda miradi ya Magufuli akuondoi legacy yake na kwanza hayupo tena.

Kwa yeyote ambae bado ana hasira ata kama alimkwaza kwa namna moja au nyingine hiyo sasa ni mental issue, it’s not normal behaviour.

Hata hasira kuna wakati inabidi uache ziende especially pale ambapo unajua uwezi lipa kisasi chako kwa sababu muhisika marehemu; sasa kuangaika na marehemu huo ndio uchuzi wenyewe.
 
Hoja ya kipumbafu kabisa..kwahiyo population na hiyo mizigo haiongezeki kadri siku zinavyo enda.

Mleta uzi unaakili ndogo sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…