GE2025 Gazeti la The Citizen na katuni zinazoonesha uchaguzi huu hausomeki. TCRA watakuwa wanawazoom wakitafutia angle!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Gazeti la The Citizen ilichapisha katuni hizi kwa nyakati tofauti kuonyesha mazingira ya uchaguzi nchini. Kwenye katuni ya kwanza inaonesha mnara ulianza kusoma freshi kuelekea box la kupiga kura lakini kadri jamaa anavyolikaribia box la kura mnara unashuka na hatimaye kupotea kabisa! :BearLaugh: :BearLaugh: Hapa huhitaji hata D mbili kumwelewa msanii.

1759157731647.png

​
Kwa picha ya pili inaonesha watoto wanacheza game ya kushindana ya magari, mtoto mmoja akiwa amevaa njano na kijani na mwingine akiwa amevaa nyekundu na buluu😂Dogo aliyevaa nyekundu na buluu waya wa kifaa chake cha kuchezea umekatwa wakati wa njano na kijani ukiwa freshi na hivyo kumuacha mwenzake kwa mbio, ikionesha mazingira ambayo si shindani kwenye mchezo wao, na hivyo kumpa njano kijani nafasi ya kushinda bila ya kuwa na mshindani! Amebaki mwenyewe kwenye mchezo.:BearLaugh::BearLaugh:

1759157702446.png

The Citizen wamejifunza kutokana na sekeseke lililowakuta Oktoba 2024 kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi wanajipigia tu. Kama nawaona TCRA vile wanakuna vichwa kutafuta engo ya kuwabananisha! Wacha tuone mambo yataendaje, maana CCM na TCRA wanataka kila mtu aseme mama anatosha🌚🌚
 
Screenshot_20250922-171016.jpg
 
Mkuu huu ni wakat wakusifu unataka nifanyaje
"Hawa wapuuzi wafungiwe", huko ni kusifu?
Ina maana ndani ya fuvu la kichwa chako pamejaa makamasi, ambayo kila mara yanatokea puani kama inavyo onyesha kwenye avatar?
 
Hiyo ni kweli! Anajaribu kukimbia baada ya kusanuliwa
 
Back
Top Bottom