GE2025 Gazeti la The Citizen na katuni zinazoonesha uchaguzi huu hausomeki. TCRA watakuwa wanawazoom wakitafutia angle!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi ndiyo mitandao inavyozidi kuzimwa, mpaka siku ya uchaguzi kutakuwa hakuna mitandao kabisa.

Ndiyo maana hata JF imepigwa ban Tanzania mpaka baada ya uchaguzi.
 
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi ndiyo mitandao inavyozidi kuzimwa, mpaka siku ya uchaguzi kutakuwa hakuna mitandao kabisa.

Ndiyo maana hata JF imepigwa ban Tanzania mpaka baada ya uchaguzi.
Safari hii hali imekuwa mbaya kwelikweli, 2020 imekuwa cha mtoto!
 
Kipanya akileta katuni ujue ujumbe huo una ukweli ingawa huwa anakuwa ameu'code' balaa!
Hana madhara? Ilikuwaje wakafungiwa mwanzoni mpaka wameamua kubadilisha approach sasa hivi? Hata wakiweza kubadilisha mawazo ya mtu mmoja tu hiyo ni impact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…