- Source #1
- View Source #1
This got me shocked, regarding the collision of President Ruto and the Former President Uhuru Kenyatta, two people who used to be great supporters to each other, this has no right to be disclosed
Health status is a personal information but again how did this got disclosed to the Public specifically via newspapers? how fact is this?
Health status is a personal information but again how did this got disclosed to the Public specifically via newspapers? how fact is this?
- Tunachokijua
- Kupitia mtandao wa X kumekuwa na nakala ya gazeti la The star la tarehe 14, Julai 2022 na kudaiwa lilichapisha kueleza kuwa Mwanasiasa Eugene Muhalwa alitamka kwamba aliyekuwa Rais wa Kenya wakati huo Uhuru Kenyetta alimlipia William Ruto ambaye ni wa sasa wa kenya matibabu ya Ugonjwa wa UKIMWI.
JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa nakala hiyo ya gazeti ilihaririwa kidgitali kwa lengo la kupotosha. Ukurasa wa mbele wa gazeti la The star tarehe 14, Julai 2026 haikuchapisha taarifa hiyo kama nakala potoshi inavyoonekana.
Taarifa hiyo Potoshi imekuwepo mtandaoni kuanzia mwaka 2022 kabla ya kusambaa tena mwaka 2026. Ukurasa rasmi wa gazeti hilo wa mtandao wa X ulichapisha nakala hiyo na kuikanusha kuwa hawakuchapisha.
Katika gazeti halisi ukurasa wa mbele kwenye nafasi ilipowekwa taarifa potoshi, kulikuwa na habari picha iliyokuwa ikielezea na ikimuonesha Ruto akiwa anaomba kura kwenye eneo la kisii na Raila odinga akiwa kwenye picha nyingine yeye akiomba kura katika eneo la Kwale.