Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Ulimwengu wa leo kuongelea mambo ya chanjo kwa kutumia maneno "wazungu" au "the white man" ni ujima na ubaguzi wa rangi.

Kwa sababu hata Ulaya, Marekani na Asia kuna watu wengi wasio weupe wanashiriki kutengeneza hizi chanjo.

Mpaka hapo tu Magufuli mjima ma mbaguzi wa rangi, kaburu mweusi.
 
Strain mpya ya COVID-19 ni hatarious
Kuna daktari mmoja bingwa anasema Tanzania inaweza kutengeneza strain yake mpya.

Kama serikali na uongozi wa juu wa nchi, hatutaki kupima, hatutaki ku isolate, hatutaki dawa za kimataifa, hatutaki chanjo.
 
Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata???? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Tena ya kizazi husababishwa na virusi, nadhani wakiamua chanjo inawezekana
 
alichosema magufuli siyo msimamo wa watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Anazenguaaa

Weee unachukia Chanjo za wazungu, alafu began una alama ya Ndui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaakili kweli zinakutosha???


Aya chukia za wazungu...kuna za wachina, wahindi, warusi..

Au nahawa nao niiwazungu??

hii strain mpya inaambukiza kwa kasi sana, ngoja aendeleee kutembea tembea, japo anajitahidi kutembelea maeneo yasokua na maambukiz kivile, ila kuna siku atapiga magoti
 
alichosema magufuli siyo msimamo wa watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Kwa bahati mbaya kauli yake inabeba uzito wa msimamo wa serikali na inasikika kuliko kauli ya Mtanzania yeyote.

Na viongozi wa serikali wanamuogopa.

Naona angalau Kanisa Katoliki limethubutu kusema.

 
Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Lazima washiktuke kwani wanashangaa kuwa inakuwaje mtu ni mwanasayansi anaongea mambo ambayo, ni ya ajabu ajabu hivyo kuhusu masuala ya sayansi!

Leo WHO, wametuma salamu kuwa TZ, ijiandae kupokea chanjo ya covid19!!ngoja tuone sasa kwani kuna mambo ambayo , lazima ufanye kwa vile ni mwanachama!!na ni jukumu la nchi kuzinunua hizo chanjo, isije ikawa anataka kufanya janja janja, eti chanjo ni hatari ili kukwepa jukumu la msingi la serikali kulinda watu wake!

Wao kila wakiamka ni ujenzi tu!!hakuna kiongozi aliyeshindana na wazungu akaibuka mshindi!!walikuwepo wababe, kina HUGO CHAVES, MUGABE, na sasa maduro muulize alikuwa ndio taifa lenye akiba kubwa ya mafuta , huko s.america, sasa yuko hali gani!??kilichotokea zimbabwe kila mtu anajua!!
 
Kwenye vijiwe vya Cyprus leo naambiwa kuliwa na discussion ya kauli za rais wetu na kitu kinachomtia kiburi.

Tunaendelea kupokea simu kotoka duniani kote.
Screenshot_20210128-234533_1611867052426.jpg
 
Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Wanajadili pumba zake....kwa Dunia ya Sasa Rais kutoa kauli kama Mzee wa kijiweni Nia ajabu. Hayuko informed na updated kabisa.

Ilifaa aongoze miaka ya sitini..
 
Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
No sawa na mtu mzima mwenye akili timamu na msomi,ukivia nguo sokoni au stendi ya mabasi,lazima ujadiliwe.
 
Kwani ni nini hasa chanzo cha kirusi kipya chenye nguvu zaidi tena kimeibukia Africa?
Hawa wazungu wanakukula huku wanakuchekea, binafsi swala la chanjo kwa sasa naona tutafakari kwanza.

Hawa jamaa wameshakwaruzana na mzee wa kaya kwenye madini na amewaminya sasa wasijekutudunga mi homone.
 
Oyaaa Furahin.

Kwakua korona imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]

Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.


tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]
Sehemu gani amefariki?
 
Back
Top Bottom