Kuna daktari mmoja bingwa anasema Tanzania inaweza kutengeneza strain yake mpya.Strain mpya ya COVID-19 ni hatarious
Tena ya kizazi husababishwa na virusi, nadhani wakiamua chanjo inawezekanaWewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata???? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Anazenguaaaalichosema magufuli siyo msimamo wa watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Kwa bahati mbaya kauli yake inabeba uzito wa msimamo wa serikali na inasikika kuliko kauli ya Mtanzania yeyote.alichosema magufuli siyo msimamo wa watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Lazima washiktuke kwani wanashangaa kuwa inakuwaje mtu ni mwanasayansi anaongea mambo ambayo, ni ya ajabu ajabu hivyo kuhusu masuala ya sayansi!Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Kwa hili mimi nipo na MagufuriHuyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Mungu wabariki WazunguHuyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Wanajadili pumba zake....kwa Dunia ya Sasa Rais kutoa kauli kama Mzee wa kijiweni Nia ajabu. Hayuko informed na updated kabisa.Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
No sawa na mtu mzima mwenye akili timamu na msomi,ukivia nguo sokoni au stendi ya mabasi,lazima ujadiliwe.Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Yeye anadai nchi hii Ni tajiri Sana. Jinga kabisaHuyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Sehemu gani amefariki?Oyaaa Furahin.
Kwakua korona imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]
Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.
tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]