Gazeti letu la Udaku JF.. (REBORN)


Mkuu ulipotea sana humu jamvini... Habari za miaka kiongozi?
 
Last edited by a moderator:
hilo haliwezekani ndugu yangu mimi nina share hapa JF,tatizo mimi huwa nafunga mwaka mzima sisubiri mwezi wa Ramadhani wala nini sasa swaumu huwa inakuwa kali sana
Nalog off

Mkuu, long time no see you... kwema lakini huko utokapo?
 
Mkuu, long time no see you... kwema lakini huko utokapo?
Ni kweli kabisa kaka ni muda mrefu kweli ila mimi niko bukheri wa afya ndio tunaumalizia mfungo kimtindo,sijui upande wako kaka?
Nalog off
 
Ni kweli kabisa kaka ni muda mrefu kweli ila mimi niko bukheri wa afya ndio tunaumalizia mfungo kimtindo,sijui upande wako kaka?
Nalog off

Mkuu sisi tupo gado kabisa, bado tunalisukuma mbele Gurudumu la maendeleo,,
 
kwa vichwa hivi, gazeti linaweza kununuliwa lote kabla hata halijaingia mitaani!
 
Duh raha sana kupata updates kama hizi maana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…