Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Gazeti ya the guardian la uingereza litemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa africa.
Katika orodha hiyo tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2,
Diamond platnumz kupitia wimbo wake wa salome amefanikiwa kushika nafasi ya 2 huku, nafasi ya kwanza ikienda nigeria kwa kuchukuliwa na msanii Tekno na wimbo wake wa Pana

Orodha kamili
1. Pana -- tekno
2. Salome -- diamond ft rayvany
3. Hollup -- mr eazi ft joey B and danny krame
4. No kissing baby --- patoranking ft sarkodie
5. Wololo --- babe wodumo ft mampintsha
6. Dance for mr --- eugy ft mr. Eazi
7. Ngudu --- kwesta ft cassper nyovest
8. Koffi anan --- yemi alade
9. Soweto baby ----- dj mophorisa ft wizkid
10. Uncondionational bae --- sauti sol ft alikiba
 
We msukule wa madale....Wimbo wa Unconditional bae ni Wimbo unaomilikiwa kwa pamoja Kati ya Ali na Sauti Sol..

Ni kama ilivyo kwa Make me sing ni ngoma ya pamoja Kati ya A.K.A na Dimond.

Hao walioweka hiyo list hawajui kitu na wewe unae-sapoti pia hujui kitu
 
Orodha Mbona umeitype badala ya kuiscreenshort kama ulifanaya kwenye taarifa ya awali!
Nna mashaka na ukweli wa hii post yako!
 
acheni kulazimisha vitu visivoonekana vionekane...
team kiba hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mnalazimisha mpaka kuonekana kwenye list
 
Hongera Diamond unapeperusha vizuri bendera ya bongo, kwa sasa ata nikiwa nchi za watu nikiulizwa unatokea wapi namimi namuuliza alieuliza unamjua Diamond platnumz? Akisema namjua case closed.

ila bado Kuna haja ya watu kujua tofauti kati ya featuring na collaboration. Haya turudi kwenye mishe mishe tuendelee kutafuta ugali
 
Fanya kuedit hiyo post wimbo wa unconditionally bae ni wa pamoja saut sol na alikiba [emoji116]
 
acheni kulazimisha vitu visivoonekana vionekane...
team kiba hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mnalazimisha mpaka kuonekana kwenye list
Ebooooo kwani Ali hayumo kwenye hiyo list mpaka tulazimishe Ebooooo? !
 
Huu ndo ukweli sehemu nyingi huu wimbo unachukuliwa ni wa sauti sol , wakenya wajanja sana ,na ndo ulivyotambulika wakati unatoka
Acha kupotosha watu kwa maelezo ya uongo huo wimbo ni wa pamoja na maelezo wameshatoa kwenye page zao [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…