enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Hongera yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nako Kuna upendeleo...Kuna watu walisema Salome imebuma
Mtu akidelete ngoma kwenye simu yake.. Anatangaza Imebuma..Kuna watu walisema Salome imebuma
Mwenzako Anakuambia Hataki Kufanya Collabo Ili Tumuone Hamuigi Diamond Halafu Anaenda Kufanya Collabo Na M.I Na Sauti SolUnconditional bae imembeba sana kiba mwaka huu. Hata MTV ndio iliyompeleka hivi hivi thubutu. Awashukuru sana wakenya wale.
king bila kingdom = na demu mwenye makota bila Gari[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umejitahidi kujenga hoja ya maana,lakini sasa ukitaka KUDHIBITISHA KUWA HUO WIMBO UNA MKANGANYIKO ANGALIA HATA MWANZO WA HIYO VIDEO IMEANDIKWA "Sauti sol feat Alikiba" (na hata hapo ukiangalia kwa mbali unaona hayo maandishi) Kwahiyo musiwaone wabongo wajinga kwa kuuita ni wimbo wa wakenya kwavile una mkanganyiko sana,kwingine feat na kwingine ni colabo.Fanya kuedit hiyo post wimbo wa unconditionally bae ni wa pamoja saut sol na alikiba [emoji116]![]()
Acha upuuzi wimbo wa pamoja huwa hamna neno ft...huwa kuna alama ya &We msukule wa madale....Wimbo wa Unconditional bae ni Wimbo unaomilikiwa kwa pamoja Kati ya Ali na Sauti Sol..
Ni kama ilivyo kwa Make me sing ni ngoma ya pamoja Kati ya A.K.A na Dimond.
Hao walioweka hiyo list hawajui kitu na wewe unae-sapoti pia hujui kitu
Oke Queen Darleen....Ngoma yako ya Kijuso inakimbiza mtaani huku.Sawa kidoti
We jamaa una majunguMwenzako Anakuambia Hataki Kufanya Collabo Ili Tumuone Hamuigi Diamond Halafu Anaenda Kufanya Collabo Na M.I Na Sauti Sol
- Akisema Hataki Tuzo Maana Muziki Wake Ni Mkubwa Kuliko Tuzo Halafu Anaenda Kujaza Fomu Za Kushiriki Tuzo Za EATV
- Kumshabikia Na Kumsikiliza Huyu Mtu Unatakiwa Uwe Na Akili Ya Uzuzu Kabisa
- Na Kibaya Zaidi Ukimshirikisha Kwenye Wimbo Wako - Mkiwa Kwenye Majukwaa Anakuamrisha Kama Mtoto
- Kwenye Mitandao Ya Kijamii Haffollow Mtu Wa Kumtakia Mtu Yeyote Happy Birthday - Yeye King Bana, Sisi Ndo Tunatakiwa Kumsifu ,kumpigia Kura, Kumfollow - King !
We Huna chochote unachokijua...Acha upuuzi wimbo wa pamoja huwa hamna neno ft...huwa kuna alama ya &
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] shikamoo madam nifahHivi wimbo wa Salome ni wa Diamond au Rayvany?
Mbona mnamnyang'anya kijana wa watu wimbo wake jamani?
Halafu katika huu wimbo Chibu kapotezwa sana na Ray, nashauri asijaribu kushiriki wimbo mwingine tena na huyu kijana.
Boss kagaragazwa vibaya hadi aibu.
Acha upuuzi wimbo wa pamoja huwa hamna neno ft...huwa kuna alama ya &
Umejitahidi kujenga hoja ya maana,lakini sasa ukitaka KUDHIBITISHA KUWA HUO WIMBO UNA MKANGANYIKO ANGALIA HATA MWANZO WA HIYO VIDEO IMEANDIKWA "Sauti sol feat Alikiba" (na hata hapo ukiangalia kwa mbali unaona hayo maandishi) Kwahiyo musiwaone wabongo wajinga kwa kuuita ni wimbo wa wakenya kwavile una mkanganyiko sana,kwingine feat na kwingine ni colabo.
Ebooooo kwani Ali hayumo kwenye hiyo list mpaka tulazimishe Ebooooo? !
Fanya kuedit hiyo post wimbo wa unconditionally bae ni wa pamoja saut sol na alikiba [emoji116]![]()
Hebu angalia huu mkanganyikoAcha kupotosha watu kwa maelezo ya uongo huo wimbo ni wa pamoja na maelezo wameshatoa kwenye page zao [emoji116]
![]()
Elimu yako Ni duni Sana kisa teamWe msukule wa madale....Wimbo wa Unconditional bae ni Wimbo unaomilikiwa kwa pamoja Kati ya Ali na Sauti Sol..
Ni kama ilivyo kwa Make me sing ni ngoma ya pamoja Kati ya A.K.A na Dimond.
Hao walioweka hiyo list hawajui kitu na wewe unae-sapoti pia hujui kitu