Gazeti za Kenya zimeandika kuhusu waziri wa Tz aliyefutwa na kufurushwa kwa bastola

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Aliyekua waziri wa michezo Nape Nnauye alifutwa uwaziri baada ya kukosoa uvamizi wa kituo cha habari uliofanywa na mkuu wa mkoa wa Dar. Na alipothubutu kuita wana habari ili kutoa tamko kuhusu kufutwa kwake, polisi wakamjia na kuelekeza bastola wakimtishia....

================================================

A policeman in plain clothes pointed a gun at Tanzania's sacked minister of information, Nape Nauye, in a bid to prevent him from holding a press conference at a hotel in the main city, Dar es Salaam.

There was also a scuffle involving plain clothes officers, a man who had accompanied Nauye, and other men who I could not identify.

The gun was pointed at Nauye to try and force him to return to his car.

He eventually spoke, standing up through the sunroof of his vehicle.
Apart from journalists, many other people had come to hear Nauye's reaction to his controversial dismissal from the cabinet by President John Magufuli ( see earlier post ).

Nauye said he respected the president's right to sack him.

Referring to the scuffle, he said: "Why would somebody point a pistol at me? I’ve been very patriotic to this country and my party, and I swear I will continue to be loyal."

Read: Magufuli sacks Information minister during cabinet reshuffle
http://www.the-star.co.ke/news/2017...sacked-tanzania-information-minister_c1531052
 
Hapana, Nape ni maarufu siku nyingi sana, unataka kufananisha na wewe?
Nalijua sana hilo , borntown kitambo afu jana kama sio leo alikutukana nikamweleza akiheshimu .......shikamoo mama.
 
Duu jamaa katengeneza umaarufu wa bure kabisa.
Haya matukio ndo yalivyo. Si muda mrefu hata hili la Nape litatoweka midomoni mwa watu. Subiri litokee lingine ndo utajua kwamba wala si umaarufu.
 
Aliyekua waziri wa michezo Nape Nnauye alifutwa uwaziri baada ya kukosoa uvamizi wa kituo cha habari uliofanywa na mkuu wa mkoa wa Dar. Na alipothubutu kuita wana habari ili kutoa tamko kuhusu kufutwa kwake, polisi wakamjia na kuelekeza bastola wakimtishia....

================================================

A policeman in plain clothes pointed a gun at Tanzania's sacked minister of information, Nape Nauye, in a bid to prevent him from holding a press conference at a hotel in the main city, Dar es Salaam.

There was also a scuffle involving plain clothes officers, a man who had accompanied Nauye, and other men who I could not identify.

The gun was pointed at Nauye to try and force him to return to his car.

He eventually spoke, standing up through the sunroof of his vehicle.
Apart from journalists, many other people had come to hear Nauye's reaction to his controversial dismissal from the cabinet by President John Magufuli ( see earlier post ).

Nauye said he respected the president's right to sack him.

Referring to the scuffle, he said: "Why would somebody point a pistol at me? I’ve been very patriotic to this country and my party, and I swear I will continue to be loyal."

Read: Magufuli sacks Information minister during cabinet reshuffle
http://www.the-star.co.ke/news/2017...sacked-tanzania-information-minister_c1531052
Hii ishu ya Bastola imewakasirisha sana watu wenye akili timamu
 
Haya mods Mhariri mnirekebishie "Magazeti ya Kenya yameandika kumhusu"
MK254 Kuna topic humu iliwekwa kuhusu mauwaji ya waziri mmoja wa kenya aliyekutwa kafa shambani kwake wakati wa utawala wa moi nilitamani sana kusikia mchango wako
 
Nawaonea huruma Wasanii hata wakitoa nyimbo safari hii hazivumii....Tuliishia kwa Darassa maana ya hii series kuanza ikawa baaaasii
 
Back
Top Bottom