Gazeti za Kenya zimeandika kuhusu waziri wa Tz aliyefutwa na kufurushwa kwa bastola

Gazeti za Kenya zimeandika kuhusu waziri wa Tz aliyefutwa na kufurushwa kwa bastola

MK254 Kuna topic humu iliwekwa kuhusu mauwaji ya waziri mmoja wa kenya aliyekutwa kafa shambani kwake wakati wa utawala wa moi nilitamani sana kusikia mchango wako

Kipindi hicho hungesikia comment yangu maana wakati wa Moi tuliishi kwa uwoga, tulibabaishwa sana na Moi hakuwa anajaribiwa. Kumtaja taja tu unabishiwa mlangoni. Hata kwenye bar ukiwa umelewa vipi, ilikua hauwezi kumtaja. Lakini ilifika hatua tukamchoka pakachimbika hadi akaachia na kukubali kurekebisha.
 
Hahaha Kuna watu wanarudi nyuma.. Enzi ya colonial period
 
Huyo RC wenu noma, untouchable.... Nakumbuka Nape alivyokua anatema cheche kipindi cha kampeni, amegusa pabaya.
Huyo RC ni touchable, sema kwa situation iliyopo mwenye mamlaka analazimika kumwacha kwa sababu ambazo wengi hawazielewi!
 
Usalama wa kazi kwa watumishi wa serikali hivi sasa ni sawa na wanaofanyakazi kwa wahindi au wachina
 
Watch it,if u think u have freedom,not to that extent
 
Hahaha Kuna watu wanarudi nyuma.. Enzi ya colonial period
Eti enzi za colonial , Is Mungiki Modern era?? Uache ufala kuona kijiti kwa jicho la mwenzako ..
Uchaguzi wenu Umekaribia yasijejirudia ya 2007.

You are too delicate and susceptible to radicals than any in this region,
 
Mungiki ipo wapi??
 
Back
Top Bottom