Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kweli yaani mzeebabaBoss kamganda dangote kaisahau tip top.
Hahaha na sauti yake ipo Kama nyuki wa mashineni!..Bongo siku hizi bila kiki hatoboi mtu si unaona siku hizi Hamisa mobeto naye anaimba.Pia eti anavunja rekodi youtube.
Hahaha na sauti yake ipo Kama nyuki wa mashineni!..
Hahahaha dahYaaan we acha ati ni No 1 trending on youtube yaan mavimavi tu
Hahahaha dah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa fala sanaHahaha na sauti yake ipo Kama nyuki wa mashineni!..
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana yaani ni moto.. kwa siku naiskiliza hata mara kumi!... sema jamaa hapewi promo tuu
Pamoja mkuu ntamwambia jamaaNdo hivo sasa mwambie gaza wako atafute NYENGA moja kama wema au wolper limpe kiki basi
Hahaha niaje mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa fala sana
Bila shaka mkuu.. Bado kidogo anipasue maskio na sauti yake hiyo...Hahahahaha izo coment sasa
Ila hamisa duuuh inabidi aende tht kwanza wakamfunde
Nae talle awakumbukage basiUoni Mwenye tip top kaamia wasafi
Hahah kweli mkuuBoss kamganda dangote kaisahau tip top.