Gazza:msanii kutoka tip top asiyepata promo kubwa.

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana yaani ni moto.. kwa siku naiskiliza hata mara kumi!... sema jamaa hapewi promo tuu
 
Uoni Mwenye tip top kaamia wasafi
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana yaani ni moto.. kwa siku naiskiliza hata mara kumi!... sema jamaa hapewi promo tuu
 
Hahahahaha izo coment sasa
Ila hamisa duuuh inabidi aende tht kwanza wakamfunde
 
Back
Top Bottom