GB 64 alihamasisha vurugu akadhibitiwa na derby ikachezwa sembuse makomandoo?

GB 64 alihamasisha vurugu akadhibitiwa na derby ikachezwa sembuse makomandoo?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
images - 2025-03-18T142016.456.jpeg


GB64 akamatwa kwa kuhamasisha vurugu kuelekea mchezo wa kariakoo derby

Kamanda Muliro akielezea usalama kuelekea derby

Mbona hatukusikia hao makomandoo wamekatwa na usalama umeimarishwa?
 
Ukishabikia Sana Simba na Yanga Unaanza Kuwa Chizi kama hao akina 74
 
Back
Top Bottom