Pole sana !! Kwa nini haijaenda vizuri?Nawaza tu kwa sauti.
Habari za mida hii wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali kukabiliana na hali.
Nimewaza tu uwepo wa gbJf app inayokupa uwezo mbalimbali kulinganisha na jf app ya kawaida...
Wakikuban una "undo"
Uwezo wa kufuta na (au) kuedit nyuzi mbalimbali... nk.
Siku ya leo haijaenda vizuri kabisa msinishangae.
D.
Pale unapo tamani kurudi chuo kusoma kozi tofauti...Pole sana !! Kwa nini haijaenda vizuri?
Usisahau kuleta mrejeshongoja tujaribu
sawa chiefUsisahau kuleta mrejesho