GbJF app

GbJF app

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Nawaza tu kwa sauti.

Habari za mida hii wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali kukabiliana na hali.

Nimewaza tu uwepo wa gbJf app inayokupa uwezo mbalimbali kulinganisha na jf app ya kawaida...

Wakikuban una "undo"
Uwezo wa kufuta na (au) kuedit nyuzi mbalimbali... nk.

Siku ya leo haijaenda vizuri kabisa msinishangae.

D.
 
Pole sana !! Kwa nini haijaenda vizuri?
 
Pole sana !! Kwa nini haijaenda vizuri?
Pale unapo tamani kurudi chuo kusoma kozi tofauti...

Pale unapotamani urudie kazi fulani urekebishe ulipo kosea...

Pale unapotamani kuyachota 'maji yaliyo mwagika'...

Pale unapotamani ku "undo" makosa yako...

Nikawaza baadhi ya apps zinavyoweza kuongezewa 'administrative privilege'

Nikawaza JF kama mfano tu, lakini katika maisha ya kawaida kuna wakati unatamani ku "undo things"
 
Idea nzuri tatizo kupata developer kwa bongo mmmh kiingine ingeogezwa sehemu ya ku edit jina
 
Back
Top Bottom