Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.
Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.
1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200
2. Botswana...................................$ 15900
3. Gabon..........................................$ 14900
4. Libya.........................................$ 14900
6. Afrika kusini.................................$ 10000
.............................................
..................................................
27. Ghana.......................................$ 1500
................................................

30. TANZANIA...............................$ 1400
.................................................
...............................................
42. Malawi .....................................$ 800
....................................................

49. Liberia.....................................$ 500
..............................................
52. Zimbabwe...........................$ 400
Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.
Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.
Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.
Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.
Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.