Elections 2010 GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

Ukweli unauma sana. Zawadi ametoa ukweli na watu wanaumia. Ni kweli kuwa Slaa huongea bila kutafakari anachoongea na baadaye huumbuka.
Afadhali kwamba hatapata URAIS aendelee kutuaibisha katika macho ya dunia. Watanzania wanajua tofauti ya pumba na mchele.

Unaweza kuwa unaongea kwa kutafakari lakin huna data.., so go get prepared, or hav u forgot kuwa this is th HOME OF GREATEST THINKERS?
 
tatizo la zawadi huelewi nini maana ya indicators... wewe lako zogo na soga... kakojoe ulalee ehh mama, kesho ukiamka fnya usafi vaa kanga uliyopewa na blausi pika chai kunywa, jumapili jiandae na lizombe

kwisha

ndio maisha unayoyaweza hayo
hahahahahahahahahaha
man your very nuts. Nimecheka mbaya.
Nilikuwa natafuta neno la kumpa zawadi naona umeniwahi.
 
Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.

Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.

1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200

2. Botswana...................................$ 15900

3. Gabon..........................................$ 14900

4. Libya.........................................$ 14900

6. Afrika kusini.................................$ 10000

.............................................

..................................................

27. Ghana.......................................$ 1500

................................................

30. TANZANIA...............................$ 1400

.................................................

...............................................

42. Malawi .....................................$ 800

....................................................

49. Liberia.....................................$ 500

..............................................

52. Zimbabwe...........................$ 400

Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.

Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.

Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.

Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.

Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.
Kwa mujibu wa zawadi ngoda
Tanzania siyo mchi masikini
 
Yaani wewe ndo Kilaza wa kutupwa kabisa halafu ukome kutumia ukilaza wako kuita watu wengine vilaza! Hivi upumbavu wako umekufanya mpaka utembelee internet ili kujua kama Tanzania ni ya mwisho kwa umaskini wakati watu wa kutumiaz kama sample wako hapo hapo kwako. Sijui umesoma wapi! Hapa hakuna haja ya kupanga Tanzania ya ngapi. Hoja hapa ni kuwa Tanzania ni maskini ya kutupwa na umaskini huo umesababishwa na nyie msioelewa na mnaouza nchi kwa wageni. Achana na Tanzania ya ngapi, wewe angalia ndugu zako wanavyohangaika na nyumba za tembe zinavuja. Ukome kabisa kuita wazalendo vilaza. Hao mafisadi wako wanaosaini mikataba wamefumba macho utawaitaje! Halo, iwe mwisho Bwana!!!!

Haya, neno KILAZA ndio limekuuma sana mwenzangu: LAKINI KILAZA NI KILAZA TU hata ukijitahidi kumpamba vipi atarudi huko huko tu.

Kwa mfano, hoja yako ni nzuri sana kuwa hakuna haja ya kujua sisi ni wangapi, la msingi ni kuangalia umasikini wetu. Marahabaa! nakubaliana nawe asilimia 100%, lakini tabu ni pale ambapo KILAZA WAKO ALIPOTAJA KUWA TZ NI WA 3 KWA UMASIKINI AFRIKA. Hivyo yeye KILAZA ndio aliyeanza hayo mambo sasa mimi ningesemaje?

Nimejenga hoja kutokana na hoja yake ya UKILAZA NA UONGO ILI AINGIE IKULU, IKULA AMBAYO KAMWE HATAIONA kwa vile KILAZA hana nafsi IKULU.
 
Ukweli unauma sana. Zawadi ametoa ukweli na watu wanaumia. Ni kweli kuwa Slaa huongea bila kutafakari anachoongea na baadaye huumbuka.
Afadhali kwamba hatapata URAIS aendelee kutuaibisha katika macho ya dunia. Watanzania wanajua tofauti ya pumba na mchele.

hakuna ukweli wowote hapo mzee wa madrassa kachemsha. Ataanza kuandika kiarabu muda si mrefu
 
Aliyasema kwenye mdahalo wake, Ingia kwa Michuzi angalia KLIPP iliyopigwa na mwanakijiji.

Sorry nilifikiri unaangalia MIDAHALO YAKE!!!!!!!!! ndio maana sikuandika wapi nimemsikia.

Dhamira yako hapa sasa naielewa. KUFANYA KAMPAGN ZA JK. Zimeisha na unajua Jumapili tunapiga kura pokea matokea kwa utulivu. Sisi tunamwelewa Dr Slaa. Hatukuombi umpigie Slaa. Huonyeshi uungwana wala dhamira ya majadiriano. Unaonyesha chuki. Takwimu zako sikubaliani nazo linganisha na za NBS.
 
nakusikitikia sana ndugu wewe unayejiita zawadi, kwa hiyo ina maana wewe unamuona huyo ndugu yenu anayekwenda marekani kupiga picha na BOIZI TU MENI ndio wa maana, hivi unajua leo kasema kwenye mahojiano na clouds (power breakfast) eti wasanii wa nje ni matajiri (mpaka akamtaja Beyonce), kwa sababu nchi yao imewawekea utaratibu mzuri wa kukusanya mapato yao. Kwa hiyo mheshimiwa rais alitaka nini ili na yeye aweke mazingira mazuri kwa wasanii wa nchi yake? au anasubiri apewe ridhaa kama kawaida ya nyimbo zake za kampeni. dada fungua macho yako andaa tanzania bora kwa vizazi vijavyo, acha ulimbukeni.
 
Zawadi kwako bi Zawadi ngoda kawawa
GDP per Capita in Tanzania | Global Property Guide

Kama utachekelea hiyo graph asubuhi kesho uwahi hospitali kupata matibabu ya akili

nAKUSHUKURU SANA KWA takwimu hizo. Lakini jaribu kuhesabu toka juu uone Tanzania iko ya ngapi?

Mimi nimehesabu na nimepata kuwa TANZANIA toka juu ni ya 30
. Hivyo bado niko sahihi.

Hata hivyo nakushukuru sana kwa uwazi. Nasisitiza tena na tena, kuwa kuwa katika nafasi ya 30 haimaanishi kuwa hatuna matatizo ya uchumi, bali ilikuwa ni kujmsahihisha Mh Slaa kuwa aliyoyasema si kweli. Na huwezi kwenda ikulu kwa kudanganya.

Narudia tena, kuwa yaweza kuwa nimehesabu vibaya, nawaomba wenzangu mbofye hapa na uhesabu nafasi ya TZ:
GDP per Capita in Tanzania | Global Property Guide

Haingii mtu ikulu kwa kudanganya!
 
Sorry zawadi nilitaka kusahau kidogo, sikutofautishi na wale wanaodhani mpaka leo Nyerere ndio rais wa tz THEY ARE NOT INFORMED kweli umenishangaza sana.
 
Slaa ka digirii kake kanamhangaisha arudi kanisani akahubiri, haelewi kitu katika mambo ya uchumi kazoea kukusanya sadaka za bwana tu huyo
 
nAKUSHUKURU SANA KWA takwimu hizo. Lakini jaribu kuhesabu toka juu uone Tanzania iko ya ngapi?

Mimi nimehesabu na nimepata kuwa TANZANIA toka juu ni ya 30
. Hivyo bado niko sahihi.

Hata hivyo nakushukuru sana kwa uwazi. Nasisitiza tena na tena, kuwa kuwa katika nafasi ya 30 haimaanishi kuwa hatuna matatizo ya uchumi, bali ilikuwa ni kujmsahihisha Mh Slaa kuwa aliyoyasema si kweli. Na huwezi kwenda ikulu kwa kudanganya.

Narudia tena, kuwa yaweza kuwa nimehesabu vibaya, nawaomba wenzangu mbofye hapa na uhesabu nafasi ya TZ:
GDP per Capita in Tanzania | Global Property Guide

Haingii mtu ikulu kwa kudanganya!

Zawadi umeolewa????????
 
Pumzika mkuu, hivi kwanza umesha-hakiki kama jina lako lipo kwenye daftari la kupiga kura na kituoni lipo????:tape:

Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.

Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.

1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200

2. Botswana...................................$ 15900

3. Gabon..........................................$ 14900

4. Libya.........................................$ 14900

6. Afrika kusini.................................$ 10000

.............................................

..................................................

27. Ghana.......................................$ 1500

................................................

..................................................

30. TANZANIA...............................$ 1400

.................................................

...............................................

42. Malawi .....................................$ 800

....................................................

..................................................

49. Liberia.....................................$ 500

..............................................

52. Zimbabwe...........................$ 400

Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.

Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.

Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.

Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.

Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.
 
nAKUSHUKURU SANA KWA takwimu hizo. Lakini jaribu kuhesabu toka juu uone Tanzania iko ya ngapi?

Mimi nimehesabu na nimepata kuwa TANZANIA toka juu ni ya 30
. Hivyo bado niko sahihi.

Hata hivyo nakushukuru sana kwa uwazi. Nasisitiza tena na tena, kuwa kuwa katika nafasi ya 30 haimaanishi kuwa hatuna matatizo ya uchumi, bali ilikuwa ni kujmsahihisha Mh Slaa kuwa aliyoyasema si kweli. Na huwezi kwenda ikulu kwa kudanganya.

Narudia tena, kuwa yaweza kuwa nimehesabu vibaya, nawaomba wenzangu mbofye hapa na uhesabu nafasi ya TZ:
GDP per Capita in Tanzania | Global Property Guide

Haingii mtu ikulu kwa kudanganya!

Hivi unatumiaga algorithm gani kwenye mahesabu yako?? Look-last-first? ama Look-first-last ama google ranking??:bowl:
 
This is a list of African countries by GDP per capita at Purchasing Power Parity. All figures are in 2005 International Dollars.

African rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#World rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#Nationhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#GDP per capitahttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#Total GDP world rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#141Equatorial Guinea$16,507113254Mauritius$13,029120357Seychelles$12,135172462South Africa$11,03521563Libya$11,35467664Botswana$10,866116775Tunisia$8,22362887Algeria$7,09538989Gabon$6,9771381091Namibia$6,6581281193Cape Verde$6,28716112100Morocco$5,7655313105Swaziland$5,18114814115Egypt$4,2823215129Angola$2,8297916133Ghana$2,6017317136Sudan$2,4176018138Zimbabwe$2,4139819139Mauritania$2,30714620140Cameroon$2,2848221142Lesotho$2,16315222148The Gambia$1,99916023150Guinea$1,98611324151Djibouti$1,95716825153Senegal$1,91411126155Uganda$1,8177527156Chad$1,74412528157Comoros$1,71717129158São Tomé and Príncipe$1,63818730161Togo$1,60014031162Côte d'Ivoire$1,4759732164Rwanda$1,43113133167Republic of the Congo$1,37915634169Mozambique$1,33510135170Burkina Faso$1,32611736171Nigeria$1,1884637172Central African Republic$1,16315438173Benin$1,14714239174Kenya$1,1258840176Mali$1,08412941177Eritrea$91715842178Zambia$91113643179Madagascar$91111944180Sierra Leone$90115345181Liberia$90016346182Niger$89613447183Ethiopia$8596948184Guinea-Bissau$85616949186Burundi$75314950188Tanzania$7209951189Democratic Republic of the Congo$6758352190Somalia$60015753191Malawi$596145

Visit Wikipedia for more information
 
Dhamira yako hapa sasa naielewa. KUFANYA KAMPAGN ZA JK. Zimeisha na unajua Jumapili tunapiga kura pokea matokea kwa utulivu. Sisi tunamwelewa Dr Slaa. Hatukuombi umpigie Slaa. Huonyeshi uungwana wala dhamira ya majadiriano. Unaonyesha chuki. Takwimu zako sikubaliani nazo linganisha na za NBS.

Kampeni zimeisha lakini UCHUMI bado ni ISSUE. Kwa kweli sikuelewi unaposema "Sisi tunamwelewa Dr Slaa" yaani hata akidanganya!!! Hii ni kali kweli kweli.

Sasa nakueleza mkimruhusu huyu kilaza kwenda Ikulu, kweli atatoa elimu bure. Lakini baada ya miaka 15 tutatembelea magoti.

Hatuhitaji 'POPULIST' tunahitaji siasa endelevu.

MDANGANYIFU HAINGII IKULU NG'O!!
 
This is a list of African countries by GDP per capita at Purchasing Power Parity. All figures are in 2005 International Dollars.

African rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#World rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#Nationhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#GDP per capitahttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#Total GDP world rankhttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita#141Equatorial Guinea$16,507113254Mauritius$13,029120357Seychelles$12,135172462South Africa$11,03521563Libya$11,35467664Botswana$10,866116775Tunisia$8,22362887Algeria$7,09538989Gabon$6,9771381091Namibia$6,6581281193Cape Verde$6,28716112100Morocco$5,7655313105Swaziland$5,18114814115Egypt$4,2823215129Angola$2,8297916133Ghana$2,6017317136Sudan$2,4176018138Zimbabwe$2,4139819139Mauritania$2,30714620140Cameroon$2,2848221142Lesotho$2,16315222148The Gambia$1,99916023150Guinea$1,98611324151Djibouti$1,95716825153Senegal$1,91411126155Uganda$1,8177527156Chad$1,74412528157Comoros$1,71717129158São Tomé and Príncipe$1,63818730161Togo$1,60014031162Côte d'Ivoire$1,4759732164Rwanda$1,43113133167Republic of the Congo$1,37915634169Mozambique$1,33510135170Burkina Faso$1,32611736171Nigeria$1,1884637172Central African Republic$1,16315438173Benin$1,14714239174Kenya$1,1258840176Mali$1,08412941177Eritrea$91715842178Zambia$91113643179Madagascar$91111944180Sierra Leone$90115345181Liberia$90016346182Niger$89613447183Ethiopia$8596948184Guinea-Bissau$85616949186Burundi$75314950188Tanzania$7209951189Democratic Republic of the Congo$6758352190Somalia$60015753191Malawi$596145

Visit Wikipedia for more information

Ya mwaka 2005 ni ya Mkapa, hivyo siwezi kujadili leo. HAYA tutayafungulia thread nyingine.

Leo ni mambo ya KIKWETE NA Mh SLAA. UKWELI AU UONGO. MJUE MOJA MUONGO IKULU HAIGUSI NG'O.
 
Vigezo vya kurank nchi viko vingi inategemea unatumia vigezo vip?
Stop being myopic hukusoma DS chuoni?on develepment?
Pitia sorce mbalimbali lafu ndoo uje na hoja zako apa
 
Hongera wewe uliyesomea Dish Sampling (DS)!
Hivi wakati una-sample dishes huwa unatumia fomula gani????
 
Back
Top Bottom