Hilo linawezekana kabisa.Hahaaa!
Kwa hiyo Tanzania inaweza kuwa na tajiri namba moja duniani eh?
Sijawahi kuona kiongozi wa nchi zenye chumi zilizoendelea kugawa gawa hela kwa timu za mpira, makanisa, misikiti, wala watu binafsi.fikiria tu kwa mfano raisi wa anatoa fedha kugawia wacheza mpira baada ya bajeti kupitishwa, anazitoa wapi hizo fedha? kwa maana kwenye nchi yenye “uchumi” ni lazima kila shilingi ijulikane ilipotoka na iwe na bajeti yake na ndiyo maana ya bajeti, sasa kama raisi anaweza kutoa fedha wakati wowote anazitoa wapi? ina maana kuna mahali kuna minus kwenye bajeti ya sehemu fulani, na huo ni mfano tu kila waziri anafanya hivyo, mkuu wa mkoa, ceo wa mashrika ya umma kila mahali ni hivyo hakuna accountability yoyote huko kwenye halmashauri ndiyo usiseme ni self service …
Nipashe basi mie sijuiAchana na takwimu za IMF.
Hivi hujiulizi mambo yafutayo:
- Kwanini sarafu ya Ethiopia, BIRR na GDP yao ilikuwa kubwa kiasi kwamba IMF waliona Ethiopia inapika Data, wakawaamuru washushe thamani ya BIRR.
- Kwanini kila siku Marekani inaishutumu China, kwa kuweka thamani yao ya shilingi, YUAN chini wakati kwa exports wanazofanya ilitakiwa kuwa HIGH??
Hizi ni hoja zinahitaji fikra huru kabisa.
Duh!Hizi GDP binafsi huwa naina ni za mchongo sana.
GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.
Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.
Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.
Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.
======
Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.
Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.
Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.
====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.
View attachment 3328033
Mkuu, nikujibu eneo hili tu.Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?
Hoja yangu ni kwamba, Serikali ingeweza kusema bodaboda wanaingiza mapato ya billion 800 kwa mwaka kwenye pato la taifa, ukijumlisha na sekta nyingine basi TZ inakuwa na GDP ya 150 Trillions.Duh!
Hata sijaelewa ulichoandika hapo!
Income inequality ni utofauti baina ya mwenye Nacho na asiye nacho, kuna mwalimu kwa mwezi analipwa Laki 3 na kuna mtu anatumia Mshahara wa mwalimu wa mwaka mmoja kulipa tu chakula cha usiku. Data zipo Zinaitwa Gini coefficient Google utazipata.Ni nini maana ya income inequality kwako?
Sababu unachunga Ng'ombe ama Unalima haimaanishi umeondolewa majukumu ya kulipa kodi na kusaidia Jamii yako.Nchi hii kila jamii ilikuwa na tamaduni zake.
Masai na ng'ombe
Wasukuma ni kilimo na ufugaji
Wachagga na maduka
Wahindi na maduka.
Sijakataa wanalipwa mishahara hawalioni kodi, the point is unahitaji kuwa na hela ulipe mishahara ili uje upate kodi ya mishahara.Ulitaka kila mtu auze duka ili ionekane kila mmoja ni tajiri wa maduka kama wahindi??
Watu wanalipwa miahahara kwasababu wqnazalisha?
Nani analipwa msgahara wa bure nchi hii?
Hao wanaolipwa mishahara ndio walipa kodi wakubwa nchi hii.
Yes Matajiri ndio wanalipa kodi Kubwa, Hata akikimbia kodi Tajiri lest say alitakiwa kulipa kodi Bilioni 10 atalipa 8, amekwepa ila pia kalipa.Deni la taifa linapaswa kujenga miundombinu ili uzalishaji uongezeje.
Kwa akili yako unafikiri mtu akiwa taniri ndio analipa kodi kubwa??
We jamaa huna data kabisa, ushawahi hata kuangalia List ya walipa Kodi wakubwa? Ni NMB, TBL, Tanga Cement, Bakhresa, Mitandao ya Simu,etc. Hao ndio wanaendesha Nchi kila siku Zikitoka Report za walipa kodi utasikia lawama kwa wafanyabiashara wadogo. Ukishakua biashara kubwa kukwepa kodi inakua Ngumu sana.Mfumo wa kodi nchi hii unategema zaidi Consumerism, VAT ambao walipaji wakubwa ni watu wa kawaida.
Tanzania mali za kitajiri kama majumba hayatozwi kodi kwa usahihi.
Hakuna kodi ya kikundi kidogo inayoemdesha nchi hii.
kodinza kuendesha nchi ni watu wa chini.
Anaelipa hio kodi ni Tigo na Voda etc sio wewe, wewe umetozwa hio gharama kwa huduma uliopewa, umelipa tu indirect, tu nazungumzia hapa kipato chako, unaingiza Milioni 1 ama 2 ama 5 kwa mwezi, toka kipato chako umelipa kodi? Una Tin TRA?Soma tena sherua za fedha kisha urudi hapa unambie ni sheria ipi ina target matajiri.
Juzi tu tumetoka kwenye Tozo za miamala ambazo walipaji ni masikini
Hao wahindi walipogoma kununua korosho zilidoda ama Hazikudoda? Serikali iliweza kulipa Wakulima?Kwahiyo madiniwanachimava wahindi??
Unadharaunwakukima kwasababu siyo wanaosafiriaha kwenda nje??
Wewe jamaa ni boya.
Check mwaka jana, Nchinimepata kiasi ganinkwenye exports ya korosho.
Kuna Mhindi ana shamba la korosho Mtwara??
@Xi Jiping tafadhari!Achana na takwimu za IMF.
Hivi hujiulizi mambo yafutayo:
- Kwanini sarafu ya Ethiopia, BIRR na GDP yao ilikuwa kubwa kiasi kwamba IMF waliona Ethiopia inapika Data, wakawaamuru washushe thamani ya BIRR.
- Kwanini kila siku Marekani inaishutumu China, kwa kuweka thamani yao ya shilingi, YUAN chini wakati kwa exports wanazofanya ilitakiwa kuwa HIGH??
Hizi ni hoja zinahitaji fikra huru kabisa.
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.
Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.
Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.
Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.
Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.
Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:
Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?
Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?
Hilo linawezekana kweli?
The math ain’t mathing, please make it make sense.
Mzee we ni lumumba etHizi GDP binafsi huwa naina ni za mchongo sana.
GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.
Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.
Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.
Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.
======
Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.
Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.
Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.
====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.
View attachment 3328033
Vipato havifanani, lakini hiyo siyo tafsiri ya income inequality. Unless kwako ulitaka watu wote kila mmoja kama malipo ni lakinna nusu basi kila mtu alipwe hivyo.Income inequality ni utofauti baina ya mwenye Nacho na asiye nacho, kuna mwalimu kwa mwezi analipwa Laki 3 na kuna mtu anatumia Mshahara wa mwalimu wa mwaka mmoja kulipa tu chakula cha usiku. Data zipo Zinaitwa Gini coefficient Google utazipata.
Hakuna mtu anaysema watu wasilipe kodi. Hiyo ni tafsiri yako. Kama hawalipi direct taxes hiyo ni weakness ya mifumo ya nchi.Sababu unachunga Ng'ombe ama Unalima haimaanishi umeondolewa majukumu ya kulipa kodi na kusaidia Jamii yako.
Nani kasema muuza ng'ombe asilipe kodi?Mfanyabishara ana turnover milioni 80 Analipa hadi milioni 3 Tra kule, Why Anayeuza Ng'ombe 100 ama 200 asilipe kodi?
Wanalipwa mishahara kwasababu ya kazi wanazofanya.Sijakataa wanalipwa mishahara hawalioni kodi, the point is unahitaji kuwa na hela ulipe mishahara ili uje upate kodi ya mishahara.
Leta hapa uthibitisho kuwa matajiri wanalipa kodi kubwa. Unless kama una-include PAYE, na VAT ambayo kiuhalisia siyo pesa yao.Yes Matajiri ndio wanalipa kodi Kubwa, Hata akikimbia kodi Tajiri lest say alitakiwa kulipa kodi Bilioni 10 atalipa 8, amekwepa ila pia kalipa.
Hilo ni tatizo la mfumo wa nchi. Sijui hoja yako ni nini hapa, maana hueleweki.Small to medium Business nyingi hazilipi kabisa, mtu alitakiwa alipe Milioni 5 Analipa 0, mtu toka kazaliwa Nyumba na usafiri hajawahi lipa kodi kipato chake.
Leta hapa hizo takwimu kama zipo kwa public consumptionWe jamaa huna data kabisa, ushawahi hata kuangalia List ya walipa Kodi wakubwa? Ni NMB, TBL, Tanga Cement, Bakhresa, Mitandao ya Simu,etc. Hao ndio wanaendesha Nchi kila siku Zikitoka Report za walipa kodi utasikia lawama kwa wafanyabiashara wadogo. Ukishakua biashara kubwa kukwepa kodi inakua Ngumu sana.
Wewe jamaa ni kiazi.Anaelipa hio kodi ni Tigo na Voda etc sio wewe, wewe umetozwa hio gharama kwa huduma uliopewa, umelipa tu indirect, tu nazungumzia hapa kipato chako, unaingiza Milioni 1 ama 2 ama 5 kwa mwezi, toka kipato chako umelipa kodi? Una Tin TRA?
Hao wahindi walipogoma kununua korosho zilidoda ama Hazikudoda? Serikali iliweza kulipa Wakulima?
Siasa zitawaua.Mzee we ni lumumba et
FYI , 3/4 ya uchumi wa tanzagiza unamilikiwa na wahindi ambao idadi yao ni < laki 2 ya population yote, hivyo black economy ni way way too small kama ukiondoa wahindi …
Tanzania itakapokuwa na tajiri nammba moja duniani kuna masuala mawili.Hahaaa!
Kwa hiyo Tanzania inaweza kuwa na tajiri namba moja duniani eh?
Sijawahi kuona kiongozi wa nchi zenye chumi zilizoendelea kugawa gawa hela kwa timu za mpira, makanisa, misikiti, wala watu binafsi.
Huku kwetu Rais anawaga tu hela na watu walio wengi wala hawahoji hizo hela anazozigawa zinatoka wapi!