mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Mlio gani unaoongeleaWakuu heri ya mwaka mpya!
Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?
Mlio unaokujulisha umeweka gea ya rivasiMlio gani unaoongelea
Kama umewahi kuendesha gari halafu unauuliza upuuzi kama huu utakua una matatizo ya akili..ina maana mtoa mada hajaeleweka?Mlio gani unaoongelea
Wakuu heri ya mwaka mpya!
Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?
HahahaaWe unataka mlio au gari itembee?
Wakuu heri ya mwaka mpya!
Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?
AC &geji ya mafuta iko poa mkuuAngalia km haitoi mlio bas hata geji ya mafuta itakuwa haifanyi kazi, nenda kw fundi hata mm kabgu kalikiwa na tatizo hilo, kasipotoa mlia geji haipandi wala AC inakata.