Gear ya rivas haitoi mlio

Gear ya rivas haitoi mlio

mlekulechoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,366
Reaction score
1,059
Wakuu heri ya mwaka mpya!
Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?
 
Hiyo ni alarm ya reverse imekufa au check wire
 
Wakuu heri ya mwaka mpya!
Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?

Angalia km haitoi mlio bas hata geji ya mafuta itakuwa haifanyi kazi, nenda kw fundi hata mm kabgu kalikiwa na tatizo hilo, kasipotoa mlia geji haipandi wala AC inakata.
 
AC &geji ya mafuta iko poa mkuu
 
Back
Top Bottom