Gedion Moi apata baraka zote kuwa Rais anaefuata baada ya Uhuru Kenyatta

Gedion Moi apata baraka zote kuwa Rais anaefuata baada ya Uhuru Kenyatta

Kwahiyo Wakenya mmeamua nchi yenu iwe inaongozwa na koo fulani fulani hivi. Watoto wa 'wakubwa' wafuate nyayo za wazazi wao?
 
Mbona Moi alikuwa kalenjin na akawa rais wa Kenya?

Moi alikuwa Raisi kwa bahati sana. Ukisoma kitabu cha Maisha yake "Making of an African Statesman" ndio utaelewa. Wa kikuyu hawakuwa wakimtaka kabisa awe.Tamaa za Njonjo ndio zilimsaidia kuapishwa akiamini kuwa hana nguvu na atamtoa kirahisi sana. Wakikuyu walikamatwa na surprise ya yule mzee kufia ghafla Mombasa ambako mkuu wa province hiyo alimpa taarifa kwanza Moi na Njonjo kabla ya wakikuyukujua kuhusu kifo. Jingine aliyekuwa najukumula kuwa taarifu wakikuyu kuhu habari kama hiyo hakuwepo Mombasa alikuwa ameenda mara moja Nairobi kwa ruhusa. Mengine yaliisha baada ya jeshi kumuunga mkona Njonjo na Moi wakisaidiwa na katiba.
 
Balaa zito sana
Moi alisababisha KANU ife baada ya kulazimisha uhuru awe Rais baada ya yeye kustaafu
Uhuru inaonekanaka anataka kulipa fadhila
Ruto bado ana nguvu sana
RAO nae ananyatia,ingawa inasemekana yupo tayari kupewa uwaziri mkuu mtendaji
 
Back
Top Bottom