Gee’s golden langur - Nyani wa India

Gee’s golden langur - Nyani wa India

Texas Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2022
Posts
483
Reaction score
1,100
Wako na mwonekano poa sana. Hawa ni aina ya nyani ipo India.

Mabingwa wakujificha. Hawapendi kabisa muingiliano na binadamu. Binafsi siwashangai wanavyojificha kwasababu majangili lazima wangewaua kwaajili ya ngozi/manyoya yao mazuri rangi ya dhahabu.

I hope these adorable animals live longer and continue to beautify the earth
.

Majangili kaeni mbali.

IMG_5255.jpg

IMG_5252.jpg
 
Aisee...
Kweli binadamu walitoka kwenye evolution ya nyani ......

1668206094698.png
 
Back
Top Bottom