Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
The other side of the coin huwa haizungumzwi,mwenye ujasiri akijitokeza atarushiwa chupa za mikojo,mawe,atatukanwa,(yalimtokea ommy dimpoz aliposema kuhusu ngwair),jamaa yetu(RIP)alikuwa ni mlevi sugu hasa wa spirits kuhusu ngoma(unga)sidhani kama aliwahi kutumia lakini ulevi sugu nao umechangia sana kifo chake also katika hekaheka zake to 2000's hajaweza hata kujiwekeza hata kidogo kwa kufungua kimradi chochote kidogo(just a question) tukishamaliza kuongelea mazuri kama hayo hapo kwenye uzi tuangalie na makosa waliyofanya ndugu zetu waliotangulia mbele za haki ili wasanii na wengine tusio wasanii tujifunze kuwa you must choose to LIVE or to PERISH through our actions
Good Point.
Wasanii wenyewe wanakosea sana wanapoanza kupata hizo hela zao, wanatumia hovyo wanafilisika. Siku wakifa wanategemea wapate sympathy ya jamii.