Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu

Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu

Russia paedophiles wengi wakifungwa huuliwa au huteswa sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Safi sana
Na [emoji636] wao wana deal na child molesters zaidi, yaani hao hawana nafasi jela
Wanadanganya kuwa wamefungwa kwa kesi zingine ila wardens huwa wanatoa siri na jamaa wanawauwa

Na serial killers pia hawakai sana lazima wasema wamejinyonga na Tai
 
Hivi mahabusu kuna vyoo? Pole yao sana wafiwa...
 
SAFI SANA @Tanpol, MAJAMBAZI, wauaji, wanaobaka watoto unafanya uchunguzi wa nini?? Chuma chuma babake
True sheria haina uwezo wa kuibadilisha Jamii bali chuma tu ndio inaweza
 
Back
Top Bottom