Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Isambaze mitandaoni kwa kuwatag hao mapolisi uenda kelele zikasaidiaKaka yangu ni mlemavu wa akili (down's syndrome) jumapili alichomwa moto akiwa mzima hadi kufa walidhani ni mwizi ukimuangalia vizuri unamjua kabisa huyu ni tahaira.
Lakini cha ajabu waliofanya tukio ilo wameachiwa huru wapo uraiani licha ya kuwepo ushaidi wa video