Geita: Auawa akidaiwa kujaribu kumbaka mwanafunzi

Isambaze mitandaoni kwa kuwatag hao mapolisi uenda kelele zikasaidia
 
Duh pole sana mkuu.
 
Sasa kati ya wewe uliyeua na huyu aliyetaka kubaka, wapi ilipo dhambi kuu!! Huu ni utoto tu na huwenda walikubaliana kiutoto na wakakubaliana kuamka mapema
Angepiga kelele???
Wabakaji mnapenda kweli,

Japo sikubaliani na adhabu ya Kifo ila Wabakaji dawa yao ni kuwakata hivyo vidude na kuwaacha waendelee kujenga nchi.
 
Kuna uwezekano Mwenyekiti ili kujinusulu anaweza akataja watu ambao hawakuwepo au akataja ambao alikua na ugomvi nao.. Hawa polisi wetu wa hovyo kweli kweli
Ni kweli mkuu hawa police ni wapumbavu, ni responsibility yao kufanya upelelezi sio issue ya chairman
 
Wanawake wasipoangaliwa vzr wanaweza kutumia fursa hizi kuua wengi ,
 
Kashindwa hata kupiga nyeto daa!! So sad,anyways tupo kwenye deployment ya kwenda Ukraine
We are taking back our capital Kyiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…