Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika
Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na kuzungumzia namna ambavyo hawajaridhishwa na mchakato wa Uchaguzi.
Wanachama hao walidai kumekuwa na upendeleo na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani na kuongeza kuwa wakati wa mchakato wa Uchaguzi, mawakala wa Uchaguzi walikuwa wakiwabagua mawakala wa vyama vya upinzani.